@laracroft2263: Kwenye maisha jifunze kusikiliza moyo na akili Yako si kila ushauri utakaopewa unatakiwa kuufwata,si kila anayekushauri Kwa Nia njema wengine huongea Kwa mtazamo wa,hisia zao au hata kwasababu Yao kwako si kila anayekushauri ana Nia njema,na si kila anayekupenda anajua kilichobora Kwa maisha Yako mwisho wa siku wewe ndiye utakayeishi na matokeo ya maamuzi Yako...🙌💔

Official_Waridi05🍓
Official_Waridi05🍓
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 20:15:40 GMT
395652
14630
160
3250

Music

Download

Comments

gracejoseph68
gracejoseph68 :
mi natamani hata kwenye dunia mimutoe kabisa nisimuone kabisa
2026-09-13 08:35:53
25
sasha.gm3
Sasha ♥️🥰 :
Nina mimba 😭😭😭😭 mwanaume mwenyewe duu nashindwa chakufa
2026-09-13 18:51:42
10
pendommarekani
pendo :
my situation right now 😭
2026-09-13 18:21:27
18
official.judah.eck
official judah ecko :
nyimbo inaitwaj
2026-09-14 16:27:03
6
marthaog90
marthaog90 :
ukiona hakujar mjal wew
2026-09-14 11:17:47
2
shilekizacharia
Shileki Zacharia :
Daaa! Pole, namshukuru Mungu wangu hawezi kulala ,btena akinikosea, aisee atabembeleza usiku mzima, na kesho yake, aliondoka akirudi na zawadi, nakupenda mume wangu, Baba Salustin na Salistini Mungu akulinde❤️❤️❤️
2026-09-14 20:55:05
5
fettyjtz
fettyjtz :
hili linanifanya nijilaumu kwa nini nmependaaa kuna muda ila moyo uuu sw tuh 🥲🥲🥲
2026-09-14 08:25:48
5
cutelulu456
lulu🦋🦋🦋 :
Kabisa yan bora kuwa pekeyako
2026-09-14 12:40:28
6
ester.jonhson
Ester Jonhson :
aisee kumbe tunalia wengi
2026-09-14 13:52:59
5
user3337077953410
muuh 🥰♥️ :
mm natamani ata tuachane Leo maana iivita nimeishiwa kabisa 😭💔😭💔
2026-09-13 19:06:18
5
emakuratajackson
emakulata edson :
pole
2026-09-13 16:27:17
3
mrsai691371972619
saimon :
nasijui nitamfanyaje
2026-09-13 19:35:04
5
mamy.siti2
mamy siti :
Really
2026-09-14 05:26:31
5
umukuluthumu2
hidaya💝👌 :
kwel dah
2026-09-13 07:02:55
5
user2856546201755
user2856546201755 :
kabisaa
2026-09-13 21:11:29
3
user38509560796718
wemah :
uhakika
2026-09-13 21:48:29
3
paskazia.lazaro8
Paskazia Lazaro :
kwel kabisa
2026-09-15 09:22:20
2
user5548113843592
Nanali Michael :
Kabisa yan bora kuwa pekeyako
2026-09-13 11:17:20
9
yakobo.lukasi
Yakobo Lukasi :
2026-09-14 00:58:32
3
witness.lesimo
Witness Lesimo :
kwakweli
2026-09-13 19:03:51
3
aaquit8
aaquit8 :
nilibembelezwa siku yaharusi
2026-09-15 13:51:08
2
user953163074781
user953163074781 :
sikupingi
2026-09-17 07:31:15
2
elizabeth.isack1
Elizabeth Isack :
pole ni jaman
2026-09-18 10:54:06
2
user9932303856923
my baby🧑‍🤝‍🧑🧑‍🤝‍🧑🧑‍🤝‍ :
ndo mm nilikuwa naye kwa ss staki tena
2026-09-18 19:21:56
2
yahayaswedy
YAHAYA AHAMADI SWEDI :
najuta kwann nilimwamini
2026-09-14 10:52:16
2
To see more videos from user @laracroft2263, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About