Video kama izi ndonataka kuona kwenye Simu ang 🙏🥺😔🫂
2026-09-13 07:44:12
353
Vee🦋🦋 :
ndo nipo njiani kutimiza ahadi yangu mniombee 🥰
2026-09-13 11:13:24
21
Jacque30 :
Am happy for u Elly 💖
2026-09-13 09:39:15
0
Dada mkubwa ♥️💕 :
Nikiona mama wa mwenzangu kafurahi hivi najisikia raha sanaaaa❤️💕tuwaombee sana pia poleni mlio poteza mama zenu wote safar yetu moja
2026-09-13 02:44:29
339
Jaline :
Hongera mwaya
2026-09-13 13:13:23
0
SashaKerubo@80🥰 :
Mine slept and forget to wake up🥺😭
2026-09-13 12:52:13
0
Jecyfaith :
Hongera sana
2026-09-13 12:56:38
0
joycewillium705 :
Asante MUNGU kwaajili ya huyu kijana na mim najiungamanisha na baraka hiz Kwa Jina la YESU KRISTO
2026-09-13 09:37:44
25
da emmy😘 :
furaha hii nataman nije nipate wanangu wakikua bwana wasiniache 😊
2026-09-13 10:05:34
8
peragia isdol :
bola wenye baba na mama sisi wengine atuna wakujengea Wala atuna kwetu ndugu waligawana adi kiwanja😭😭😭
2026-09-13 12:07:06
9
Angel Cute❤️🥰 :
Siku ni mjengee mama angu Mungu nisaidie katika utafutaji wangu siku nimpe heshima mama angu ameteseka sana kila nikimtizama napata uchungu mkubwa sana 🥺💔
2026-09-13 06:59:32
28
TAYANA IVANY❤️ :
one day na mm
2026-09-13 07:45:02
1
Abbas 🫧 :
God bless you bro
2026-09-13 10:52:51
1
user8128295730303 :
mmh nachok mm natamn iwe hvyo rakn sin kitu
2026-09-13 09:12:04
10
Lizzy Beth :
Mungu wa mbingu ameona haja ya moyo wako MAMA amefurahi hadi raha baraka zake zitakufata milele
2026-09-13 04:00:02
17
JK.FARMS :
mungu awajalie sana ninyi mliopata mafanikio mama zenu wakayafaidi na kuyashuhudia, wengne nikama tumewatoa wazaz wetu kafara, yani wameteseka kwaajili yetu mpaka wanakufa nasisi ndio tunafanikiwa🙏🙏🥲🥲, mungu wa rehema awabariki sana ndugu zangu
2026-09-13 05:14:21
12
张景🇹🇿🇨🇳 :
mafanikio na majibu ya maombi yako yako mikonon mwako
2026-09-13 07:25:53
7
HARUNI KAYUNI :
Baraka Ziambatane nawe hakika
2026-09-13 06:34:49
4
Herry❤ :
Hongera sana ukazidishiwe zaidi ya ulivo navyo
2026-09-13 06:37:56
9
Mama Vivian :
We kaka nimelia nimejukuta machoz yanatoka Hongera sana boss wangu barikiwa sana 🥰🙏
2026-09-13 03:35:44
11
Manfred :
daah nmetoa chozi mkuu hii baraka ni kubwa sana kuliko tunavyodhani... Mungu akulinde familia na atulindie Mama yetu 🙏🏻🙏🏻
2026-09-13 06:00:55
7
Epiq Stoo :
Dear mama❤️
2026-09-13 06:28:49
1
djrey_international00 :
Nataman wazazi wangu wangekuepo🥺🥺
2026-09-13 08:30:31
1
Glory :
Dah so lovely 😊 🥰
2026-09-13 08:03:46
1
To see more videos from user @ellymwasile, please go to the Tikwm
homepage.