@jvckieseven: mwaka 2012 suma mnareti alikuja na huu wimbo wake wa chukua time uliokua hit sana mtaani kisha kutokomea kusikojulikana, mpaka pale alipokuja kuibuka kama mchambuzi wa muziki kupitia podcast yake ya msema kweli. huu wimbo ulimpa jina sana suma mnazareti akiwa chini ya label ya mtanashati iliyokua inamilikiwa na Ostadh juma na musoma 🔥🔥🔥

JvckieSeven
JvckieSeven
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 20:35:46 GMT
29268
1719
51
39

Music

Download

Comments

addy_adams2
Addy_Adams :
Huyu jamaa alibahatisha ngoma moja tu
2026-09-12 21:04:08
9
tikkitiger11
TJ 🍫😍 :
Haichuji hii😁😁
2026-09-14 17:45:54
2
adam.athuman5
Adam athuman :
duuh[Red heart]
2026-09-14 06:15:58
1
kim.angel63
KIM ANGEL :
yan hiz nyimbo huwaga kunanamna zinanigusa wazimu
2026-09-15 08:00:56
8
platini1996
platini1996 :
ngoja nimalizie na iyi Musoma😎
2026-09-13 09:54:45
3
supremecryptos
Supreme Crypto :
2012 namaliza darasa la saba nipo nasoma pre form one na computer nilisumbua sana
2026-09-14 16:27:06
3
a_moo_1
A.Moo :
unyama sana
2026-09-13 15:28:06
1
bakari.vunge
bakari vunge :
hii suma alipiga sana
2026-09-18 06:10:32
1
officialinnocentboe98
Innocent Boe Tz :
kuna ngoma ukizisikiliza zinakupeleka mbali mno kimawazo
2026-09-15 14:54:04
5
peterplumber_
PeterM :
hii genZ walikuwepo😅😅
2026-09-13 16:01:10
1
dullah_880
Abdallah :
hii nyimbo aliimbiwa nani kwani
2026-09-14 15:22:03
0
raheem.hamzatz
Raheem HamzaTz :
mm nlimjua Suma Kwa nyimbo hyo t ila credit Kwa ommy 🔥
2026-09-12 22:58:20
3
eng_nestorysanga
Eng_nestory sanga :
ndo nasepe hivo
2026-09-14 05:34:14
2
chamadoki
Chamadoki :
aiseeee dah
2026-09-17 09:56:31
1
user1703243067150
hayase hb :
right now chawa😁😁
2026-09-15 06:19:44
0
hayumobrand
Hayumo brand :
andk vizur
2026-09-14 19:52:43
0
notificatio68
Binrashid :
2026-09-15 09:09:27
0
user8730552607225
Mrs ❤️kily 💥og :
Duu umefanya paka nimkumbe mpenzi wangu wakwanza alikua ana upenda sana huu mimbo
2026-09-15 19:08:18
1
hikups.kikons
Hikups Kikons :
form V
2026-09-17 07:16:03
0
rosekimario13
MOM B :
nilikua zangu form 2
2026-09-15 00:03:00
0
user17494911677308
Jacky🦋🦋 :
2026-09-16 09:52:20
1
emmantz1
user9621953487747 :
zingatia neno,,kisha kutokomea kusiko julikana😂
2026-09-13 18:49:52
1
anacountant
ABEL THE SENETOR :
hiki kipindi style ya kunyoa iliyokuwa kali ni kiduku😂
2026-09-13 04:39:19
4
user1453055282954
kerewe boy :
Hao madada waliokuw wamemsbr mwenzeo nje ya nyumb mpk wakapitiw usngz..pongez kwao ni wachache sana ktk hii dunia
2026-09-14 13:59:00
1
omah.smart
Omah🍀smart💦 :
mpaka unajiuliza kwanini kawa chawa haiji 😂😂😂😂
2026-09-18 19:37:55
0
To see more videos from user @jvckieseven, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About