@dancingteacherpascal: Replying to @liliz7833#

DANCING TEACHER 001
DANCING TEACHER 001
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 12 September 2026 20:43:55 GMT
5934
194
25
35

Music

Download

Comments

greycee57
Greycee#mamaboys# :
mbona uliwachagulia? Mwanafunzi ndiye ajichagulie
2026-09-15 07:04:29
1
_minastra
Mkufunzi Mapesa :
Wangu walisakura mtandaoni matini wenyewe
2026-09-13 04:55:40
1
chepkech5
Chepkoech Too :
nitumie haya matini jamani nahangaika huku jangwani
2026-09-15 05:15:06
0
marianna_sonnie
Marianna $onnie :
Naweza pata huu mwongozo wa mwalimu wapi tafadhali🙏
2026-09-13 12:54:11
1
judywambui185
mamagals🥰🥰🥰🥰🥰 :
tunaawaandikia alama kwa nakala zao au kwa marksheet tu??
2026-09-14 08:59:32
0
maureen_odhiambo
Maureen_Odhiambo :
mwalimu wacha wanafunzi wajichagulie matini
2026-09-14 07:46:46
0
maggyiddah
Maggie Maggie :
kwa hivo kila mwanafunzi anastahili kuwa na nakala yake ya kazi mradi ili wajaze hizo sehemu ya kujitathmini ama vipi
2026-09-13 09:16:35
3
dorothygakii8
Dottie :
fanya la nne
2026-09-15 15:33:32
0
apostleben038
benedictlisumba30 :
zoezi la tatu?
2026-09-15 03:58:27
0
kevoh525
Kevin :
uko na nakala ya mwalimu ya kutathminia unisaidie?
2026-09-14 10:39:16
0
lenny2327
Lenny :
nitumie hayo matini
2026-09-15 17:34:09
0
deeh906
Dee❤️🦋 :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-09-15 08:05:17
0
To see more videos from user @dancingteacherpascal, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About