@fund_tilesprofessional: ✨ Nyumba Yako Inastahili Tiles za Kifahari na Kazi Iliyonyooka! ✨ Sisi ni mabingwa wa uwekaji wa tiles za aina zote kwa ustadi wa hali ya juu na vipimo sahihi visivyopoteza nyenzo zako. 🔥 Huduma Zetu Kuu: Uwekaji wa tiles —kazi safi, iliyonyooka na yenye uimara wa muda mrefu. Ngazi za Kisasa: Ubunifu na ujenzi wa ngazi za tiles zenye muonekano wa kisasa. Finishing za Nyumba: Huduma kamili za kumalizia mjengo wako kwa viwango vya juu. 🏢 Fundi Tiles Professional Company Limited 📲 Piga/WhatsApp: 0655693917 📌 Instagram: @fundi_tilesprof
@fundi_tilesprofessional
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 20:52:09 GMT
Music
Download
Comments
ally home 🏡 finishing :
najifunza brother
2026-09-12 21:07:12
2
mussagwerino :
kaka kubili nakubaliii
2026-09-13 12:36:02
3
SANZ BUILDERS :
hiv ndo vitu tunatak vijana waongelee kaz wengi wanaongea umbea na mambo ambayo hayan tija🙏
2026-09-13 05:58:16
34
kijana wa kale :
wewe ni mwalimu mzuri sana hapo tumekuelewa na maboc piya wataelewa maana hili somo umelifundisha kwa upole na ufasaha..
2026-09-13 04:25:55
10
William jr 337 :
maelezo yako yako fact sio mtu anakosoa lakin hafundishi uko vizur
2026-09-25 03:47:29
3
Mohammed Al Amoody :
makini mkuu
2026-09-13 02:33:01
2
Sam....D :
umeelimisha vizur mkuuu bg up
2026-09-13 11:30:29
2
JMAFARASI ELECTR INSTALLATION :
sahihi mkuu
2026-09-13 04:59:50
3
ally fundi umeme :
nikweli kabisa pia mafundi ngazi wachecha sana wanaojitambua💪💪💪
2026-09-13 04:06:46
3
Isack Baba :
nimafundi wachache wanaotoa erimu
2026-09-28 09:59:15
1
Comadretools Limited :
Maelezo ya kidigital- yamenyooka na kujitosheleza 💪💪💪💪💪
2026-09-14 06:51:00
1
𝐈🅰️Ⓜ️___ᗷᗴᑎᑎY🎭🎧 :
nakubal kak
2026-10-21 05:43:19
2
Tresor Nm :
Asante
2026-09-13 04:00:15
2
speaka crina :
vundi hongera unatuerimisha vizuri sisi mafundi wadogo
2026-09-13 09:09:34
1
Mr smart Electrical install :
kabsa mkuu
2026-10-16 03:18:32
1
Gerald Mwasunga :
good job
2026-10-15 18:32:59
1
Calvin Sawe :
pamoja
2026-09-17 02:50:39
1
EDDO WELDING255 :
fundi mzuri anatoa na kupokea ushauri asante mkuu umewakilisha vyema
2026-09-14 04:04:21
1
Titus Samuel Tupa :
Correct
2026-09-13 10:03:08
1
I.J.W :
nataka nikupe kazi lkn hio jezi imenistua
2026-09-21 10:35:51
1
My Brother 🤸🏼🇹🇿♎TmA :
Ni kweli kaka Kuna Mafundi wengine nao pia hiyo kazi hawajui
2026-10-10 13:17:09
1
Steven Kilanda :
safii nimeipenda hii
2026-09-25 08:16:41
1
Buly hermit :
kaka mimi napenda maelekezo yako naomba nmba yako ya wasap
2026-11-02 11:05:59
1
Oluwa 🙏 :
we jamaa unajua sana
2026-09-15 19:39:59
1
clementurassa :
Nashukuru sana nmejifunza kitu hapa..
2026-09-13 15:22:33
1
To see more videos from user @fund_tilesprofessional, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.