@mr_kitukuu_cha_zanzibar:

MR KITUKUUU CHA ZANZIBAR
MR KITUKUUU CHA ZANZIBAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 20:56:37 GMT
25762
2036
80
84

Music

Download

Comments

user6081842355945
@ibrahimjua2043 :
Jamana mnatukumbusha mbali sana mnatutoa machoz😭 daah Tumepotez vipenzi vyetu wengi Allah awape kauli thabiti Aamen 🤲 utataman urudi ten utoton daah😪😮‍💨
2026-09-13 17:33:28
35
user7025183330378
Bwam muu :
Mashallah ALLAH Bless you waimbaj wetu tulikuwa tuipnd 🥰sn wallah enz tuko watoto wa 90 uko ila ZNZ ni 1 tu dunia nzm Mashallah ZNZ 💪 1
2026-09-13 06:52:19
4
khamsoyussuf
khamso Yussuf :
🥰🥰🥰old emotional
2026-09-13 07:41:25
0
chiahena6262
malikha- heena artist :
unatukumbusha[Teary eyed]mbali, daah kipindi uchi lazma niende kwa babu angu skukuuu asubuh🥹Allah marehemu babu na bibi angu kipenz🥹
2026-09-13 09:15:27
4
user3851232923045
user3851232923045 :
sio hiyo ww ilikua ..arraya eidl fitri
2026-09-13 13:00:51
0
omarikhamisi883
OMARI KHAMISI :
nazikumbuka sana. kipindi hicho Darajani au jua kali !!
2026-09-13 17:31:43
1
user8817826952547njuro
user8817826952547njur0 :
next
2026-09-13 08:44:29
0
hussenpambakali1212
hussenpambakali :
Na isipo pigwa hiyo bc mm nilikuwa naona km sio skukuu wala nn lkn nikiskia kasida izo mbili au tatu bc mm roho radhi mungu amlaze mahali pema baba angu kipenzi
2026-09-13 12:15:51
3
abuubakarbakar812
Sheikhan seifllah :
masha allah
2026-09-13 06:55:52
0
user9289448118838
user9289448118838 :
mpaka kesho ikija skukuu lazima nizibue kasda hizi😄
2026-09-13 08:32:05
0
abubakarbashiru25
Abuu 777 B$ 🤙 :
Sio Zanzibar tu hata Kondoa pia 🥰🩵
2026-09-13 14:48:05
4
salama.khamis737
Salama Khamis :
Maisha yetu yalikuwa yakinyonge sana lkn tulikuwa tukiskia ivi vikasida mioyo inakuwa na furaha sana
2026-09-13 20:12:48
3
abuhanifa.mussa5
Abuhanifa Mussa :
Jmn mnanikumbusha kipindi nikozangu madrasa Asubuh tukiwa tunaenda kusoma kwasheikhe Asubuh naweka iyo qaswida jmn😭😭😭😭 nalia kwajili yafurah😭😭😭
2026-09-14 05:00:49
1
mina925
hasmina :
na ilikuwa raha
2026-09-13 17:24:50
2
police2242
SIDE BOY :
Dah zamani sana mungu awarehem vipenzi vyetu hadi chozi linanitoka miaka imekwenda sana utoto raha sana
2026-09-14 04:23:08
1
user1457274916336
nadhifa :
natamani laiti Mungu angeturudisha miaka 18 nyuma 🥲🥲 maisha yalikua mazuri sana wengi wetu tulikua na hofu ya Mungu vipenzi wetu wametutoka wengi sana 💔
2026-09-14 05:08:33
1
ramadhanikhalidi23
Mr. Ramadhan💪🏋️‍♀️💪 :
Namkumbuka sana potii head master wangu Tasnim muslim sec school alikua akiea anafanya kazi zake za nyumban anaweka hizi wasida daaah Allah ampe umri mrefu
2026-09-13 21:01:16
1
sophyzungu100
sophy zungu :
Alhamdulillah miaka imeenda allah atupe mwisho mwema. Hizi ndio eid tulozifaidi wallah
2026-09-13 15:06:37
1
ibbu.tz
IbbuTZ :
Zanzibar.... dah 😢😢😢😢
2026-09-15 11:59:51
0
feisal.miraji6
Feisal Miraji :
Aisee
2026-09-14 21:51:21
0
omijr02
omary . M . masoud :
mbona kama tunakumbushana vizuri miaka iyo nasubir kuvaa nguo mpya nakumbuka sana tena yaani wee acha tu asante kwaku nikumbusha sanasanatena sana
2026-09-14 17:30:54
0
salehharoub95
REMY CABELLA :
Kuna Ile ya Eid El Fitri
2026-09-14 16:32:56
0
To see more videos from user @mr_kitukuu_cha_zanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About