@bwangajr07: Uyu🚛 leo angesema Uji wa Mtoto kanywa Nani Maisha Ya rod Mungu Kwanza #Wataftaji_Miguu3🛺🇹🇿🇨🇦🇯🇵 #MBAGALA_MABEGANI #KIWALANI_MABEGANI 🫡 #VINGWETA_MABEGANI
alafu hapo selikali itasema bodaboda wakolofi tunachoma mali za watu kwa staili hii kweli jamani
2026-09-13 04:10:06
215
Bezalel Ark :
Kichwa T431 DUG
trailer T 385 DUH
2026-09-13 04:49:50
81
mussa Qr :
Yan katoka njia ya mwendo kasi mazima bila kuchukua tahadhali dereva wa lori amekosea sana na hii video itamponza pia
2026-09-13 05:42:42
106
Captain :
mkuu hauna video inayo onyesha vizuri namba ya gari unisaidie
2026-09-13 04:09:31
46
IT'S ME ALLY MADIBA :
mm matusi tu ndo huwa sipendi sijui kwann aisee
2026-09-13 06:02:06
31
Nuuh Love❤️ :
Alafu spendi utukane kipnz
2026-09-12 21:05:35
48
AO Automotive :
utaskia boda hawako makini
2026-09-13 08:27:41
15
Kanda ya Ziwa :
Trip town daaaaaaaah! sawa bn
2026-09-13 05:35:42
0
M:T:I:M:A:M:U🪖🇹🇿🫡 :
Tumkate point ngapi hapo wakuu[Tears of joy]
2026-09-13 06:48:05
6
Ayoub Yusuf :
T 451 DOG
2026-09-13 10:03:09
0
Ivan Prime :
usipend kutukana so vizuri
2026-09-12 22:57:33
5
ummulkher :
dereva Lori awajibishwe wizara husika angalie bodaboda wanavyo nyanyasika barabarani kweli mtu unaenda kuovertake bila hata kuangalia usalama wa vyombo vingine kweli
2026-09-13 19:37:01
2
Ms cathy🤪😘💝💞💝💞 :
kwhy hp mweny kosa nan?😳
2026-09-13 05:27:46
2
Vance boy tz :
tutamfuatilia
2026-09-13 06:09:26
1
Layman :
Niamini mimi alikua amelala, hakuna dereva mzembe kiasi hicho
2026-09-13 10:01:59
6
AKANJI SELLA :
Jitahidin comments ziwe fupfup maana tunao soma tunapata tabu
2026-09-13 21:00:21
0
Shuuudelove :
boda boda wanaonew sana
2026-09-13 09:48:56
3
32 mtotot iddy :
serekal iangalia hili afungiwe leseni mwenye lori
2026-09-13 18:08:10
0
Ismaili modo :
2026-09-13 05:41:08
4
Top sack tizzy :
mwenye boda anakosa
2026-09-13 14:08:41
0
dullapee_53 :
Kuna comment nimesoma inasema acha mihemko ata ww unapoendesaha pikipiki usikae upande wa kushoto dereva awezi kukuona. hiv kwa uyu dereva atakama angekaa upande wa kulia unadhani angetoboa maana kaanza uko kulia kaja mpka uku kushoto in short balabala yote ilikua yake
2026-09-13 07:15:18
2
HUMBLE MAN PEACE 🙏 :
HAPO ALIKUWA KWENYE MWENDO KASI AKAVUKA KUINGIA SASA BODA YY HAJAJUA KAMA JAMAA ANAINGIA
2026-09-13 08:31:07
1
beka :
watu wangeacha pumzi
2026-09-13 03:45:25
0
To see more videos from user @bwangajr07, please go to the Tikwm
homepage.