Namkumbuka sana mama yangu alivo kua akini andaaa kwa skukuuu
mama pumzika salama😞🙏🏾
2026-09-13 15:19:51
0
shkely jr :
mpka machozi yamenitoka Iddy morning old is gold
2026-09-13 10:44:45
0
Fetty 💕 :
i miss mah home [Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-13 19:01:03
0
21212121 :
ilikuwa yapgwa Edii asubuhi dah natamani nirudi udogo
2026-09-13 07:08:07
45
Yussuf Ally :
long time ago
2026-09-13 10:30:48
0
lamela :
zanzbr ili kuw raha zamn bhn .kil nyakat ili kuwa na qaswida yake .mpk vil vijimbo vinav endan na kitu chenyew . ila siku kuu ili kuwa raha zamn sio saiv bhn ☺️.mungu turejesh ten huku mbel hatukuwez
2026-09-13 08:01:54
22
ABUU SLIMU SULTAN ATHAN :
Stone town TBT
2026-09-13 10:59:12
0
abuu gaucho :
skukuu ya kwnza asubuh baada ya kutoka eid kila nyumba yenye redio
2026-09-13 07:51:45
17
user3154355193096 :
apo kujua kishanipata kwa kupokea mkono wa iddi🤣😂😅
2026-09-13 08:59:10
7
آشلي نصر🥀 :
Sku ya eid wawah ilikuwa ni raha
2026-09-13 08:33:32
6
SAMM_LUX :
zanzibar kipind hichoo skukuu nshavaa nguo mpya nshapokea mkono wa eid 🥰❤️