@saibu008: Alhamdulillah for everything 🤲💍🔐🫂🔥 @Tizmah stitches 💦🌹

El Magnifico🍓✨🔐
El Magnifico🍓✨🔐
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 21:14:47 GMT
13852
1169
45
29

Music

Download

Comments

akramamkaku
Akram mkaku :
Ohoooo Vittah 🥰❤
2026-09-13 06:58:49
2
nyshas18
little girl 💝💫 :
sijui kwanini nikiangalia video za harusi moyo wangu unadunda na kuanza kuimagine😒, mwenyezimungu anifanyie wepesi inshallah na mimi hadi mwakani niwe kwenye ndoa😅
2026-09-13 17:30:54
13
sityothmankher
sity :
Jina la qaswida please 🥰
2026-09-13 19:30:27
2
uhtynasrah
꧁𒆜༺ 𝐔𝐤𝐡𝐭𝐲 𝐍𝐚𝐬𝐫𝐚༻𒆜 :
insha allah, ndo kwanz nasomaa ila napendaa kuonaa wa2 wanfungaa ndoaa🥺❤🧕👳,
2026-09-13 15:23:38
6
_.leyra
leyrabrowan.07 :
mungu anyone na mm jamn 😔
2026-09-13 15:58:38
3
desecond43
MOM'S ICON 🦋 :
inshaallah ikawe kheri. Allah atufanyie wepesi tulio bado
2026-09-13 19:05:29
2
mariam.sappa
mariam sappa :
Mashaalah alfu mabrook 🥰🥰
2026-09-13 17:59:35
0
faimah.idukury
fey 💕💕💕 :
mashaallah Allah awajalie masikilizano
2026-09-13 14:07:42
2
user8791881947108
user8791881947108 :
Allah awape kila la kher
2026-09-13 15:06:16
1
azmarahatun
Azmarahatun🥀 :
Mashallah hadi raha huu mwezi na ulopita watu wanaolewa hadi raha
2026-09-13 14:37:52
1
zukra392
zuuky :
mashallah
2026-09-13 13:50:12
1
mwanaabasishabani
ukhty mwana :
mashaallah
2026-09-13 15:21:32
1
sweet.ley4
Sweet ley :
ukiona hii ujue yako inakalibia Innshallah
2026-09-13 16:49:08
2
motalentchui
Mo talent💥 :
nimependa babu harusi hana mambo mengi kwenye mavazi alafu mstaarabu hana fujo🙏🙏
2026-09-13 20:17:48
1
dahuulemax
Dahuu97 :
2026-09-13 18:09:46
0
nisa.label
nisa.label :
Barakallahu Feek Allah awajalie furaha na amani katika ndoa yenu ❤️
2026-09-13 20:15:25
0
faust.lacha
Faustha lachaa :
Umetisha kaka angu
2026-09-13 16:50:16
0
mrs.hassan4101
🎀Mrs Hassan❤️🎀 :
mashaallah
2026-09-13 17:30:27
0
rahmaally8470
rahmaally8470 :
jina la kaswida please
2026-09-13 22:13:57
0
mussaame208
Mussa Ame :
MUHALILI HAACHWI😂😂😂
2026-09-13 18:58:49
0
mariamblugome
sheismaya :
kwann mtu anawekewa mkono kichwani
2026-09-13 18:17:59
0
rahma.mwinyi0
lost girl🤷 :
Wakubali vipi mkono mtupu😩😂😂
2026-09-13 18:10:03
0
officialdia5
pharm dear 🌹 :
🥰🥰🥰
2026-09-13 14:04:54
1
haulahaula925
h ❤️❤️❤️ baby :
[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-13 17:46:13
0
To see more videos from user @saibu008, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About