Andamo la Ekarist tulianzia hapo Kristo Mfalme tukamalizia Korongoni
2026-09-13 07:33:40
30
big popaaa :
hapo kwa sisi watumishi Kuna braza alikuwa anaitwa braza peter
2026-09-13 11:37:35
11
user8374907957315 :
kristu mfalme moshi
2026-09-12 22:41:25
12
Gifty Kimei🇹🇿 :
kanisa langu kwanzia ubatizo mpka kipaimara...Dada Anna yupo jamani🥰
2026-09-13 10:41:12
7
user BINTI MACHA :
Nimewatafuta tuliopata komunyo na kipaimara 2002-2002 chini ya fr Bahati na dada Anna nyie ckuwahi koswa fimbo na ile mianzi nyuma ya kanisa ila now wameshaingoaga jmn .Pd.Agapity Aman na fimbo zake yan au acha ninyamaze ila njooon tuliopata sacrament miaka hyo mtoe ushuhuda
2026-09-13 11:56:30
5
MOMO PERFUME ✨🌸🍓 :
Kuna English mass nilijichanganyaga na watoto wa St Merrygoreth nikajuta 😂😂😂
2026-09-14 12:29:55
4
MKUU AMANIZER :
nilitumikia miaka 9
2026-09-13 21:50:24
3
Tajiri Karia :
Nimetumikia hapa kanisani 1996 mpaka 2001
2026-09-13 09:29:44
13
Hilda Mtowe :
nakumbuka alipo kuja papa
2026-10-01 16:46:15
1
snow_🤍white🥀 :
Kabisaa
2026-09-13 08:24:06
2
GM❣️ :
ukifika tuu kwenye mazingira haya uwepo wa roho mtakatifu unakua juu yako🙏
2026-10-01 19:10:54
1
paco25 :
nyumbani kwetu moshi 🫶napakumbuka nyumbani
2026-09-13 09:33:28
2
Juma Mnyonge :
wapo seriously kwenye maombi
2026-09-13 04:39:31
6
user4588288367329 :
Bila kumsahau Padre Agapiti Amani
daaah🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-09-18 07:13:59
2
Jane :
Mungu amelipendelea😍😍
2026-09-13 11:33:21
2
James Mshana :
apo n mo twon
2026-09-13 11:08:59
2
Vicky Cuty Mjemah :
Namkumbuka marehem mama angu alvyokuwa akinidamsha asbh asbh tuwah misa ya kwanza🥹😰
2026-09-13 09:52:50
5
Charles Msofe :
1998 nilipata komunio ya kwanza na paroko Agapiti Amani
2026-09-13 05:04:37
6
Kessy_Kessy :
kanisa langu kuanzia ubarizo hasi leo
2026-09-13 07:59:41
2
Dorcus💖💖 :
Mapendo wakatoriki wenzangu
2026-09-13 10:40:41
5
Breezy shoes 👟😁 :
pap aliwahi kufika hapo
2026-09-13 06:49:07
3
John Mallya :
apo ni kriso mfalme moshi
2026-09-13 04:42:55
3
The Guice :
hapa ndipo nilipopatiwa sakramenti ya Kipaimara na Marehemu Mhashamu Askofu Amedeus Msarikie.
2026-09-15 20:52:50
2
EDD😎 :
Nimebatizwa 1992 hapo na hayati askofu amedeus na ndiye alinipa kipaimara hapo hapo mwaka 2007😁😁😁
2026-09-13 09:26:54
3
To see more videos from user @kilimanjaro_live, please go to the Tikwm
homepage.