Alhamdulillah watoto wangu wote ni adhania mwenyewe.
2026-09-13 06:53:29
13
GENTLE FAH🍓 :
Kwan mtoto anapewa jina baada y sku ngap 🙏🙏
2026-09-13 05:52:39
8
NaseebGas 🇧🇮 :
Je ukimaliza kuadhini, unafaa kuisoma dua ya baada ya adhana??
2026-09-13 04:39:18
3
Mombasa raha :
Hiyo kuadhiniwa imetoka wapi Dalili???
2026-09-13 08:23:25
1
Kassim Cordovaboy :
tupe hadithi au ayaa
2026-09-13 08:06:28
1
Ruby 💟💯 :
Mama anaruhusiwa kumuhadhinia mwanae
2026-09-13 12:25:53
1
Tp Sainouri :
Sio sunna mtume hajafanya, sema ni utaratibu nzuri Basi......
2026-09-13 04:58:02
2
mwanahkhalfan🌹💞 :
IQAMA NDO NINI🥺
2026-09-13 07:01:32
1
Razacki :
Kama Mtoto Anapewa Jina Siku Ya Saba Na Kule Ospitali Anapo Jifungua Mama Daktar Anataka Jina La Mtoto Ajaze Kwenye Fom Au Cheti Na Kuzaliwa Na Bado Mtoto Ajafika Siku Saba
2026-09-13 11:00:31
2
Ramaa :
sio lazima
2026-09-13 04:43:59
0
💘أم ماهر :
Mimi niliskia mtoto wa kike hanyolewi ni wa kiume pekee...hivi ni kweli?
2026-09-13 07:56:54
0
chammy :
Samahan mfano nimetoka kujifungua mwanangu je naruhusiwaje kumuadhinia mwanangu ?? Ikiwa bado ni mchafu nna nifasi??
2026-09-13 08:20:57
1
user2555581840811 :
shukrani sana kwa ukumbusho mzuri. Allah akubariki zaidi
2026-09-13 06:36:25
4
mozlyn709 :
Kama watoto wengine umewafanyia hakika uyo mwengine kma hujamfanyia inakuaje
2026-09-13 06:02:12
0
selmamr7 :
Azana
2026-09-13 05:39:01
0
madam latty :
shukran❤️❤️❤️
2026-09-13 04:26:39
2
komakech21 :
sawa kabisa
2026-09-13 07:05:11
1
Mama lao :
Mashallah Babu yao aliwafanyia watoto wangu 🥰
2026-09-13 08:01:48
1
pendezanamariam :
kweli kabisaa
2026-09-13 04:01:50
2
Maua wellness :
Ostadh kwamfano mm skumsomea mtt wang hakika na anamiaka 8 sasaiv je naweza kumfanyia 🥺🥺🥺
2026-09-13 16:44:59
0
mr bilali :
adhana kwanza
2026-09-13 17:08:17
0
❤❤shykunee :
true💯
2026-09-13 02:29:42
0
To see more videos from user @kanzuland, please go to the Tikwm
homepage.