Kweli ila hamisa Bado anampenda mond ndio mana hakuja
2026-09-13 04:20:57
51
Eva Stuart 🇰🇪🇱🇷 :
Tanasha bado, we can see that,
2026-09-13 05:32:18
0
momo beaut :
Kwaiyo amisa aja move on
2026-09-13 03:12:10
4
habbyguanzhou0 :
Point dear hongera
2026-09-13 06:29:34
0
lulumartha1 :
kwaiyo yule mwenzangu aja move on sio[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-13 06:41:24
0
rahmamalugu :
sauti kama daimond
2026-09-13 01:19:42
32
Maliamu Lugalaba :
sema ivi mondi anahudumia watoto wake ipasavyo we unazan angekuwa hawahudumiii watoto mama zao wangeluhusu waje? mondi anawapenda watoto wake anawahud
2026-09-13 08:03:40
9
NUU :
kweli kabisa hata mimi mwanangu anaenda kokote na jambo la mtt tunashea
2026-09-13 02:28:46
26
DALALI_MWAISA_IRINGA✅️ :
mtoto wa hamisa yukwap?
2026-09-13 05:51:36
4
fauu_collection :
@Dayasherine
2026-09-13 06:08:29
0
MR. Casio :
mbn kama amelewa
2026-09-13 00:22:41
17
~Anko JJ :
kweli ricardo momo kaka ake Naseeb so kwa sauuti hiyo
2026-09-13 08:34:32
3
Terebina03 :
mtoto kama anahudumiwa na Babaake sio shida
2026-09-13 03:44:47
13
it's me :
umeongea point sana me Kila siku ugomvii na mzaz mwenzangu
2026-09-13 05:15:22
23
chimamy rk :
kama baba anafanya majukumu yake shida Iko wapi sasa
2026-09-13 04:11:21
5
Juma Saidi kiuma 0714260479 :
mbona mtot wa hamisa hatuja muona
2026-09-13 05:58:13
0
Amanda :
Siri ni kwamba baba ana provide
2026-09-13 03:24:26
7
Rama home electronic :
me nateseka sana mariam hataki niwe na furaha na mwanangu
2026-09-13 05:53:53
0
Ms_sandyy :
Bhn ww wanaruhusu kwasbb pia diamond ana provide kwa watt wake,mtu unazaa na mtu haudumii mtt afu nimpeleke kwa baba ake so kweli bora nionekane sijamove on
2026-09-13 02:41:35
70
MOM G :
Nimemove on na kwa baba ake haendi mnachakunifanya 😂 we huwezi jua mtt na mama ake wamepitia mangap
2026-09-13 03:51:50
9
Careen Marco 🦋 :
hahahaha kumbe mm Bado safari ninayo maana matatizo yapo km yote
2026-09-13 05:47:15
4
naah2001 :
Kuna uyu x wife wa mume wangu sasa asipopokelewa simu anaanza kutuma sms za matusi kumbe aja moveon😂😂😂
2026-09-13 06:59:49
2
Essie Abray :
Ni kumove on ama matunzo yapo pia
2026-09-13 07:45:05
1
Vestina K. :
huo ni ukwel
2026-09-13 07:50:14
1
BOSS LADY :
ni kweli kabisaa
2026-09-13 07:43:31
1
To see more videos from user @mike360tz, please go to the Tikwm
homepage.