@alphakizzymedia: Malkia @officialkhadijakopa Bibi yake na Sandra Akimtunza Mama Dangote @mama_dangote kwenye Usiku wa 40 ya Baby Girl #fypviralシ #SJs40 #creatorsearchinsights #wasafimedia @officialzuchu @Diamond Platnumz

WASAFI FM
WASAFI FM
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 12 September 2026 23:58:02 GMT
74821
2859
313
183

Music

Download

Comments

dijahcollection2
dijah collection🛍️ :
Anaetunzwa ata kusmile
2026-09-13 01:04:19
95
naomiaka020
Naomi..Aka( @020💜 💜 :
sio kwa michambo iyo😂😂
2026-09-13 08:43:23
0
zayumba23
Zayumba :
Mama dangote anakitu moyoni walahi
2026-09-13 07:39:46
28
felista.emanuel1
fey ima jr :
Pesa inatoka ila na vichambo [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-13 06:47:44
37
pilikoksi
pili koksi😍 :
mama dangote kma hjapend hivi
2026-09-13 06:39:46
0
fanisharashidi
fanisha rashidi :
tatizo wimbo wakutunza nao😂
2026-09-13 02:38:56
17
gisle.lopez.ndayi
Elsa Lopez 🇧🇮 🇸🇦 :
mbona kama Mama dangote Hana shobo na izo pesa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-13 00:32:26
51
jackymichael198
Jacky Michael :
mbona familiy ya zuchu kma wanajipendekeza san kwa mama dangote
2026-09-13 06:04:39
19
emmye339
Rania_mom😍 :
Moyoni mama dangote anasema yote kayataka nasibu haya 😂😂😂ila kapatikana safari hii atake asitake😂😂😂
2026-09-13 07:06:37
69
majayden62
@cute :
na kichambo juu huku unatunzwa[Heartwarming]
2026-09-13 04:42:57
24
gstplayzonehub
GsTPlayzoneHub :
dj mgombanishi
2026-09-13 02:19:58
11
user77004117581342
user77004117581342 :
mama dangote mwenyew anajua ela zimetoka A zinaenda B😅😅😅
2026-09-13 06:58:35
9
nurath.noor
Nurath Noor :
kimemramba [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-13 07:20:10
1
hinduayoub
me :
wamejua kuomba radhi mama na mwana
2026-09-13 00:50:30
15
phayo_tz
phayo_tz :
Kumbe mama wa mwanaume ndo anatakiwa kutunzwa eeh🤔
2026-09-13 06:35:15
14
joella7799
joella7799 :
Jamoni 😱
2026-09-13 01:31:52
0
hawaaomary30gmail.com
🦋Hauwah🦋 :
Huyo mama dangote mbona kama hayuko comfortable
2026-09-13 05:45:23
2
celeen163
celeen :
tunao angalia jumapili asubuh tujuane apa
2026-09-13 04:34:41
24
latifa.haji2
❤💍💦Tiffah Papy tozzy💦❤💍 :
jmn mama dangtee mbn kanunaa
2026-09-13 00:33:25
14
junayna6
junayna Ahmed :
Ata ningekua mm nisinge cheka izo nyimbo walizomuekea zina ukweli 😂😂
2026-09-13 05:35:48
8
moza5727
moza :
Kwenye haya maisha akuna watu wanapenda wajukuu zao waishi kwa amani Kama mama na bibi mzaa mama . Japo sijawai kuchukiwa na bibi mzaa baba ila bibi mzaa bibi anapawa sana sababu sababu baba ni mfalme me nimeelewa mama zuchu ❤️❤️❤️
2026-09-13 06:46:28
5
jabertz
Jaber Tz 🇹🇿 🇬🇧 :
Familia ta diamond imepatika niaminini mie😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-13 07:33:48
4
carren.tz
carren Tz❤️❤️🥰🥰 :
ye mbna ha2nzi anatunzwa tu
2026-09-13 04:53:15
0
user7271050733101
Cute ❣️ zakieh :
mbona kama mama dangote kanuna ☺️☺️
2026-09-13 08:58:33
4
To see more videos from user @alphakizzymedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About