@swahili_kitchen: Leo sitiii neno ila pilau halitiwi nyanya na soya sauce jamanii basi mtasema namdomo ☹️ Alafu wateja wangu wanaenjoy, mana nawapikia authentic Swahili food 😋 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #swahilifood #swahilitiktok #tanzaniatiktok
Ayam❤️
Region: AU
Sunday 13 September 2026 00:48:34 GMT
Music
Download
Comments
nahya :
basi hicho kitui ungetia na hicho ki pilau wee utamu wake😋😋😋😋
2026-09-13 10:08:33
17
Helen :
nyanya unaweka ila kidogo
2026-09-13 07:41:40
10
Mc vullu🎙️ :
Mpishi mzury utamjua tu pilau linatiwa supu bwana alitiwi maji dada jiko umelitendea haki mashaallah
2026-09-13 12:32:20
5
Alina :
mim mwenyewe sipend nyanya kwenye pilau!
2026-09-13 08:49:11
12
@sasha accessories :
Ukisikia mwanamke jiko! Ndo hiii sasa 🥰
2026-09-13 11:16:26
4
Chef_Busaid :
Pilau authentic haina nyanya. Pilau modern can be cooked any how kikubwa isiwe jorof tu
2026-09-13 16:15:46
2
Yonce_ :
Wa ambie hao mama😂😂
2026-09-13 07:48:37
0
MG🍃 :
Hili ndo pilau lenyewe sasa
2026-09-13 17:00:40
3
Kemy💕🥀 :
Baby kila mtu na upishi wake mm bila nyanya moja sielww😂😂
2026-09-13 18:30:54
1
Ummu Omar955humeira :
MashaAllah tabarakallah 🥰🥰🥰
2026-09-13 09:59:34
0
Iman :
niandalie hio pilau nimekuja na juice yangu
2026-09-13 13:44:51
0
ishat :
Mim nakula zangu miogo man nazi 7 miogo kidog umeweza veep😋
2026-09-13 12:59:04
0
Martha H😋 :
naomba nije nikae kwako ww na mume wako nafata chakula chenu tu🥺🥺
2026-09-13 16:10:25
0
Simple Me🤩🫣 :
2026-09-13 13:01:29
2
mama Leki :
Soya sauce?
Wapi wa china na pilau 😂
2026-09-13 07:18:40
2
Toody🤍🖤 :
Umeweza
2026-09-13 15:38:07
1
user4904243657083 :
Unajua kupika dada 🙌🏽
2026-09-13 18:08:37
1
cr7 :
Mashaallah nice ❤️
2026-09-13 16:37:04
0
mtoto mcute :
MashAllah
2026-09-13 17:15:23
0
bellagirl3008 :
sambusa zangu napenda ziwe kawia kbc nile na pilipili na juice mwaya
2026-09-13 18:14:34
0
mizzy collection🔥 :
nyanya waweka ila kidg moja inatosha kulingana na wingi pia ila aapo kwenye sauce hapNa kwakwel😂
2026-09-13 09:22:40
0
To see more videos from user @swahili_kitchen, please go to the Tikwm
homepage.