@salvaafricatv: Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Diamond na Zuchu {Sandrah Junior} | Salva Africa TV Mama Zuchu (Khadija Kopa) Akimtunza Mama Diamond (Mama Dangote)
but why are this people forcing issues mama na mschana
2026-09-14 01:16:32
6
Jeps :
mama dangote is emotional not sad,she feels the happiness 🥰
2026-09-14 07:22:05
0
Queen of South 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇸 :
mama dangote is not happy at all!
2026-09-13 15:43:24
16
🎗IT'S MORAA🎀 :
What's wrong with mama Dangote sometimes 😂
2026-09-13 22:11:52
4
Claire Kalmarx :
mbona mama diamond ndio anapewa zawadi nadhani zuchu ndie anafaa kupewa
2026-09-13 19:30:33
10
queen kui🇮🇹 :
if you listen to that song you will understand why she is not happy Kuna beef Fulani chini ya maji zuchu pia kacheza the Same song while gifting mamaka D[Innocent]
2026-09-14 05:27:00
1
SARABI 💝❤️💝💋 :
They worship her too much 🏃♀️💀
2026-09-14 05:51:20
0
Vayoo 🥀 :
they did it opposite way
2026-09-13 17:52:00
3
chikaree cute✨️🕋 :
mbona kama hafurahii😳
2026-09-13 05:31:46
17
halimaramadh0 :
wanaombamsamaha
2026-09-13 05:04:43
7
zuri :
mama kijana hua nashida gani
2026-09-14 06:35:58
1
aishy :
mm nnavojua alipaswa hapo atunzwe zuchu au mm ndo sielewi, Sasa mama diamond anapewa hela kwa Kaz gan
2026-09-13 06:07:05
16
HAMIDA RAMADHAN :
wanabembeleza ndoa
2026-09-13 18:58:16
5
Betty wa Danny😍🌞🫶🏾 :
Nataka mama Zuuuu🥰🥰🥰no stress 😍💃🏾💃🏾🫶🏾
2026-09-13 17:54:56
5
Dinah Njagi Njagi :
mbona mama diamond hachekangi ametulia tu
2026-09-13 18:42:14
5
Claire Kalmarx :
hao nao wanapea mama dangote mzawadi kwa Nini they are doing it opposite I think zuchu ndio anafaa kuzawadiwa ..mnajipendeleza mnabembeleza ndoa
2026-09-14 04:55:55
1
leyla salim🇰🇪❤🇹🇿 :
mbona mwamtunza yeye ilifaa yeye ndio awatunze nyinyi
2026-09-13 05:47:29
9
Atayah🤍 :
Nina mengi ya kusema Ila siamini Kiswahili changu😂
2026-09-13 19:10:13
3
Henfrida decoration :
mbona kama mama diamond kanuna nauliza ruu msinichambe nina miajq 80 sichambik
2026-09-13 17:00:32
2
Tweetfancy :
😳
2026-09-13 13:34:41
1
Blessing :
lovely mother [Red heart]
2026-09-13 09:05:05
2
lily💞💞 :
jamani
2026-09-14 05:51:16
0
💔baby D🎀 :
Mbn kanuna
2026-09-14 05:54:01
0
To see more videos from user @salvaafricatv, please go to the Tikwm
homepage.