@westtv_tanzania: #BURUDANI : MARIOO SIKU YA JANA ALIKUWA NA SHOW HUKO MAREKANI 🇺🇲 TAMASHA LIMELOANDALIWA NA #afrimmamusicfest . TAMASHA HILO NILIJUMUISHA WASANII KUTOKA MATAIFA MBALI MBALI BARANI AFRICA 🌍 KUTOKA HAPA KWETU TANZANIA 🇹🇿 ALITOKA MKALI #jumajux na MARIOO MWENYE . VIBE HULO NILAKWAKE MARIOO HUKO AMERICA YA KUSINI DALLAS TX MUZIKI WETU UMEPO FIKA NI PAKUBWA SAN 🔥🔥🔥🔥 TUNACHA KUJIVUNIA. HONGERA SANA @marioo_tz #trending #virlapost❤️

West Tv Tanzania
West Tv Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 04:18:02 GMT
113546
4675
44
25

Music

Download

Comments

joezakie
zakia :
siumeona niweusi wenzetu lakin
2026-09-13 06:32:54
86
user7292101007584
officialjamilah204 :
nipo zangu busy na DJ chibonge👌🏼
2026-09-13 11:46:37
34
user999672774939
Queen mimah💕 :
kwan yule ndo dj khaleed au
2026-09-14 15:00:25
4
user8537166134974
Maya Maia :
Ameshinda 🥰lakin tuzo
2026-09-14 20:31:45
0
marypari2
mary :
si wapo wa tz wanaishi huko anyway Mungu ambariki zaidi
2026-09-14 12:31:44
7
sarahstanleymbiu
Sarah Stanley Mbiu :
wamefurahi wamejihisi Km wapo nyumbani
2026-09-13 18:18:42
9
dnovathebest
d nova :
mimi nipo na nguo tuuuu😅
2026-09-17 12:07:55
0
smillejaneth
Smillejaneth💕❤️ :
nakubali sana jamani wa AFRICA nimependa sana wanavyomsaport muAFRICA mwenzao haijalish wapo kwenye Taifa la nani??🥰
2026-09-13 10:56:01
9
denisosward1
denisosward506 :
marekani Gani iyo
2026-09-14 04:27:19
2
ge_charming24
#@it's_Ge🦋💫 :
hongera kijana wetu
2026-09-15 17:48:54
0
jey23104
Jey🥰 :
sasa wanaelewa
2026-09-14 06:26:26
2
son_staylez
Edstaylez :
Kutoka aloooh[Fire][Fire]
2026-09-13 21:46:05
1
younglady289
younglady289 :
Nampenda Marioo anavaa simple lkn ana shine Masha’Allah hana makuuuuuu🥰🥰
2026-09-15 05:59:36
0
lookman_j1
lookman_j :
ingiekuwa kunauwezekano w kuwambia wasanii wote wasivae hivo viatu vya yelo bc ningefny hivyo
2026-09-15 13:23:56
0
user2020550933436
user2020550933436 :
we niwamoto kinoma takuombea kwa mungu akupe msha malefu jitaid kuomba mungu sana nasisi tutakuombea
2026-09-15 13:31:14
0
user225963660985
sifa bakabwe rams❤️ :
Jtm
2026-09-15 04:17:47
0
user5422039820325
Minaaa##Muuza Nafaka Shinyanga :
kumbe boss wa marekan ana afya kumpita makamu wa rais wa tanzania
2026-09-14 18:17:57
0
user1232047431615
lablonde :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-14 03:36:48
0
user1531756855437us
bass mitif :
mungu amuongezee artistes wangu préféré marioo baba amara
2026-09-17 12:48:42
1
lorah.b3
lorah b💞💞 :
Nan kaon dj aje alike
2026-09-14 12:08:34
0
irene.mosha67
Irene Mosha :
kuna place uko marakani niyawa tz peke so nazani ndy yupo uko yey sio ile marakani yawazungu nop
2026-09-13 14:01:52
1
c.o.c.o55
M... ♡🦋 :
Aje belgique jamani 😳🥰
2026-09-13 15:31:28
3
sheiz.annie
Theyadore-Annie🫧💋 :
jmn huyo DJ😂😂
2026-09-13 11:34:53
1
bebrina14
bebrina🤍 :
wamejikusanya weusi wotee kwenda kunsupport home boy dah
2026-09-13 07:13:45
10
itscat_ogg_
it's Catie_🦋🌹 :
Marekani gani hamna mzungu hata mmoja 😂
2026-09-13 06:51:01
2
To see more videos from user @westtv_tanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About