@shammy_glamtech: mlimpeleka wap mume wa jirani angu jamanii 😂😂😂🙌🤌🤌 #CapCut #viralvideo

Shamour👩‍💻✨🌸
Shamour👩‍💻✨🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:02:47 GMT
56087
2155
266
534

Music

Download

Comments

ashakapela1
Asha🥰 :
maliza kulia nikwambie Kuna kuongea na mchepuko wake mbele Yako 😂😂
2026-09-13 13:12:05
72
mwaju771
Mwaju :
mm kwanza ningefurah alale hukohuko ili usiku nilale kwa amani
2026-09-13 12:19:56
33
zakhiarashid149
official mom muuh🥰💍 :
akinyamaza mwambie akijaribu yy kulala nje anaachwa🤣🤣🤣
2026-09-13 13:40:17
22
jaq_navotha
JAQNA COLLECTIONS 🥰 :
🤣🤣🤣🤣maliza kulia tukuambie na mengine
2026-09-13 16:39:42
9
rehemaadam33
Rehema Adam :
Na unaweza kuta hakula akikaa anasubiri arudi wale wote🤣🤣🤣🤣
2026-09-13 15:26:40
17
0685497967girl
utensils :
nilast born
2026-09-13 11:28:28
0
ms.lucy.mzungu
ms lucy mzungu :
Ukimaliza kulia kuna hiyo anarudi amebadirisha na nguo 😂😂😂🤣🤣🤣
2026-09-13 16:10:51
3
amina_bakery044
amina_bakery :
😂😂halafu kuna wewe wa backbench 😅unamtizama na kuuliza umetoka bongo
2026-09-13 16:03:59
4
mommy.intisaar
Mommy intisaar💕🦋 :
Mm asipolud mpaka saa saba natafuta pakwenda na mm 😂😂
2026-09-13 12:51:51
7
comforty67
Comfort♥♥ :
Mbona analia mapema hvo abakishe ya ziada😂😂
2026-09-13 11:29:02
7
thina.deriki
Thina Deriki :
maliza kulia nikwambie akiludi akakuta umenuna anaondoka Tena na atakaa uko siku tatu nyingine na simu bila kukupokelea🤣😂☺️😊
2026-09-13 15:00:03
10
munah.4554
Munah 4554 :
😂Hapo bado mwenetu kuna kurudiwa Asubuhi na ukimuuliza anaondoka tena
2026-09-13 16:23:15
1
moomy035
MOOMYSTORE 🛍️ :
Na kesho anachelewa zaid 😂😂.. aah bhn wanaume wanatukomaza kwakwel
2026-09-13 16:45:11
1
ollie_collection1tz
Ollie ❤️ :
mm hivi hivi mpenzi harudi na simsubiriii nalala
2026-09-13 16:55:03
0
neliamimi22
Mimĩ🦋 :
Mnaniogopensaaa😂😂😂
2026-09-13 13:25:46
0
noralynn78
Norah Health Tips :
😂😂 Atakuwa lastborn
2026-09-13 11:54:21
4
redhajimsomali
madam juju😍 :
😂😂😂maliza kulia nikwambie lingineee😂😂😂😂
2026-09-13 13:41:40
3
aznifatystyle
Aznifaty stayle’s🧸🛍️ :
Sito sahau jmn nilikua nalia kama chiz nakumbuka mwalimu mwennzg alinambia Madame utazoea tu nikawa najiulza ntazoea vp kumbe baadae arud asirud aahhh pambe tu😂💔
2026-09-13 15:51:48
4
zu.baby4
zu baby :
😇😇😇😇😇ndo kwanza posa mshaanza kututishaaa
2026-09-13 13:59:50
3
To see more videos from user @shammy_glamtech, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About