@pancreascare1: ➡️ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.. ➡️ Kwenda haja ndogo mara kwa mara.. Watoto kukojoa kitandani.. ➡️ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.. ➡️ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.. ➡️ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.. ➡️ Kutoona vizuri ama macho kuona ukungu wa mara kwa mara.. ➡️ Kupungua kwa nguvu za kiume au kushindwa kumudu vizuri tendo la ndoa.. ➡️ Kupata ganzi ya mara kwa mara au maumivu ya mishipa ya fahabu sehemu za mikononi.. ➡️ Kutokwa na jasho jingi lisilo la kawaida bila sababu za msingi.. ➡️ Kuhisi kizunguzungu au kichwa kuwa chepesi mara kwa mara.. ➡️ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili Kutopona haraka.. 🙂Hizi ni baadhi ya dalili za kisukari ni vyema zaidi kupima na kujua maendeleo ya afya yako 🙌Dhibiti mapema zaidi chanzo cha tatizo ili kuepuka kupanda ghafla na kusababisha madhara mengine na kwa maelezo na ushauri Zaidi kuhusu PANCREAS CARE WhatsApp kwa namba 0662 316 555: #healthtips #zanzibar #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #bukavu

PANCREAS CARE 🙌
PANCREAS CARE 🙌
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:13:39 GMT
2640
17
2
5

Music

Download

Comments

swila.sam.g3
Mafyale Sam .G. :
goood my dr
2026-09-21 06:26:56
1
salmin.mbarook
Salmin Mbarook :
mbona wengine wanayo na vidonda akiumia anapona fasta
2026-09-15 11:51:06
0
To see more videos from user @pancreascare1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About