@feisal784: Huwakumbusha Waislamu kuhusu Swala – humsaidia Muislamu kuacha shughuli zake na kuelekea kwenye ibada❤️ Humkumbusha mtu kumtaja Allah – maneno ya adhana yana Tauhidi na kumtukuza Allah.🤲 Ni ibada yenye malipo – mwenye kutoa adhana kwa ikhlasi hupata thawabu kubwa📢 Huwatangazia watu kuingia kwa wakati wa Swala – hasa katika misikiti na maeneo yenye Waislamu wengi🌙 Huimarisha imani na umoja wa Waislamu – watu hukusanyika kwa ajili ya Swala kwa mwito mmoja.👼 Mashetani humkimbia anayesikia adhan