@shambashine: Call:0658019731 Hutoa kivuli kizuri – majani yake marefu na yaliyotapakaa hutengeneza kivuli kizuri kwa maeneo ya kupumzikia. Ni ya kupendezesha garden – huleta muonekano wa kisasa, wa kitropiki na wa kifahari. Ni rahisi kuitumia kwenye landscaping – inaweza kupandwa kando ya njia, kwenye lawn, karibu na nyumba au kama plant ya ku-highlight eneo fulani.

Shambashine
Shambashine
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:30:25 GMT
9894
261
7
88

Music

Download

Comments

vmethodbrand
Vmethod :
Dodoma kwenye huu ukame utafaa?
2026-09-13 21:35:20
0
vivo5468
Nyella vibe :
mbona masiliano huwa huweki
2026-09-13 21:25:45
0
bertjan_40
Bertjan_40 :
hujasema matunda. yake ndio uchagu yakianza kudondoka ni hatar
2026-09-13 10:19:29
0
mariamu.nico
Mariamu Nico :
daa naupataje
2026-09-13 20:04:22
0
haroubhaji
haroubhaji :
Kaka begani hiyo mti
2026-09-13 17:18:23
0
kulwa.jr88
kulwa jr :
unapatikana wapi naomba Namba tuwasiliane
2026-09-13 10:33:55
0
To see more videos from user @shambashine, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About