@tulizomheheog: Nina mateso jamani 😅😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtu asicheze mziki

Tulizo Mhapa
Tulizo Mhapa
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:36:57 GMT
19754
1088
120
26

Music

Download

Comments

valentinnerngaoh
valentinnerngaoh :
Kama umeanza kurusha video za vilabuni Ipo cku nitamuona mama na shangazi yangu 😂😂😂
2026-09-13 13:13:10
16
wilsj2014
WilsJ@2014 :
Nilienda Ikonongo nikarudi bila garii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-27 11:25:43
0
sizalina1
Sizalina Francis Miho :
Maisha halisi wengi wetu tuli yashuhudia kwa wazazi wetu😭😭
2026-09-13 17:00:21
11
user3953482259226
user3953482259226 :
uyu dada anafanya nikumbuke mbali sana
2026-11-02 07:12:58
1
therealprisca1
Priscaalpheo1 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Dah nmekumbuka mbali sanaaaa
2026-11-03 18:40:25
0
bitrece.athanas
Bitrece Athanas :
yani nakupenda bule dada tuli
2026-11-05 15:23:57
0
jafarikigodi
Jafari Kigodi :
dada umenikumbusha mbal sana Mungu mbariki mama yangu singusi aliuza pombe kunisomesha shule kamwe stokuful sayans ya Mungu mzaz wa kukuzaa kamwe stokashifuu pombe 🙏
2026-11-05 12:09:01
0
makame.nuhusy
Makame Nuhusy :
nawapenda sana wahehe wezangu jamanii hivii hamna group la wahehe jamaniii
2026-10-10 13:39:18
2
rahaaa305
rahaa :
Tumesomeshwa kupitia hii kazi
2026-11-02 09:36:54
0
rebby.adrian
becky🧘 :
yeyote amezaliwa njombe kama hujayaonja maisha haya we si asilia ya njombe daaah bila mamaang kuuza hii nisingekuwa iv asante mamaang 😂🥰
2026-10-13 14:07:04
1
linah.boaz1
Ummy sameer :
Aloooo dada umestahili kuwa no! moja creator WA iringa umenikumbusha mbali umeelezea Hali halisi ya wazazi wetu mazingira waliotulea kabisa yani
2026-09-25 08:11:28
1
user4336882384382
user4336882384382 :
Nimekupenda Buree kipenzi
2026-11-03 21:12:08
0
user2824990665181
safwa drive og :
dada huwa unanikibusha mbali sana . watoto 2000 hawaelewi litu hapo
2026-10-28 17:43:01
1
user2991160098124
teewagee :
nimeuza sana kwa bimkubwa imetulea híi kazi, nauza mpaka debe linaisha afu niko mwanafunzi tuu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 anakuta faida km 5000 hv that time wee
2026-11-02 20:24:55
0
priscapris3
bievenue :
umefanana na dadangu kila kitu🥰🥰🥰
2026-09-14 15:09:11
1
geofrey.evarist
geofrey evaristus :
ila dada tulizo !!infact unatukosha Sana Wanairinga 🙏🙏🙏
2026-09-13 05:52:52
1
joyce.exavel
Joyce Exavel :
2026-11-04 20:15:28
0
dabantegeta
DABAN ONE TEGETA{UMEME :
ako kanyimbo kila clavu. ukienda lazjma uisikie😁😁
2026-09-13 06:01:35
0
user5342123383370
weki :
naona unaongeza damu 😂😂😂
2026-11-01 08:08:23
0
user9675294142878
@uria og24 :
ila tulizooo
2026-10-27 12:09:21
0
user7712815019935
Rose alphonce :
ila kiukweli Huwa unanifurahisha sana
2026-11-03 17:17:56
0
mrs.mohdy
Mrs Mohdy❤️🔐 :
Uhalisia kabisa maisha yetu ya zamani 😂😂😂😂😁😁😁
2026-11-01 08:29:15
0
user5057241055449
[email protected] :
nyumbani ni nyumbani tuu
2026-10-27 19:44:12
0
rahelmtenga
Rahel Mtenga255 :
namuona kakaangu Nelly muhungilage
2026-11-05 21:24:55
0
nadiakutika
diafashion :
maisha halisi
2026-09-13 11:18:18
0
To see more videos from user @tulizomheheog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About