@fadhilomarydai69: HATUJAMHUKUMU MTU TUMETOA UKUMBUSHO ๐ง๐๐ก๐๐๐๐ ๐ก๐ ๐ก๐๐ฆ๐๐๐ Kuandika aya za Qurโani kwenye sehemu ya ngazi ambayo watu wanapita na kukanyaga maandishi hayo ni jambo lisiloruhusiwa, kwa sababu ndani yake kuna dharau na kutoheshimu maneno ya Allah Allah Mtukufu amesema: ุฐููฐูููู ููู
ูู ููุนูุธููู
ู ุดูุนูุงุฆูุฑู ุงูููููู ููุฅููููููุง ู
ูู ุชูููููู ุงูููููููุจู โHivyo ndivyo ilivyo; na anayezitukuza alama za Allah, basi hakika hilo ni katika uchamungu wa nyoyo.โ (Al-Hajj 22:32) Sheikh Ibn Bฤz ุฑุญู
ู ุงููู Ibn Bฤz amesema: ยซูุฌู
ูุน ู
ุง ูุนุฑุถ ุฐูุฑ ุงูููุ ุฃู ุงูุขูุงุช ุฅูู ุงูุงู
ุชูุงู ูุงูุฑู
ู ูู ุงููู
ุงู
ุงุชุ ุฃู ูู ุงูุฃุฑุถุ ุฃู ู
ุง ุฃุดุจู ุฐูู ูู ุฐูู ูุง ูุฌูุฒุ ุจู ูุฌุจ ุฃู ูุตุงู ููุงู
ุงููู ูุฃุณู
ุงุคู ุณุจุญุงูู ุนู ูู ู
ุง ูู ุฐุฑูุนุฉ ููุงู
ุชูุงู ููุณููุฉ ููุงู
ุชูุงู.ยป โKila jambo linaloweka katika hatari ya kufanyiwa dharau Dhikri ya Allah au aya za Qurโani, kama kutupwa kwenye takataka au ardhini, na mambo yanayofanana na hayo, yote hayo hayaruhusiwi. Bali ni wajibu kulinda Maneno ya Allah na Majina Yake dhidi ya kila kitu kinachoweza kuwa njia ya kuyadhalilisha.โ Tunawanasihi waislamu mnapotaka kufanya jambo lolote lenye sura ya dini mjitahidi kuwasiliana na mashekh wawapeni miongozo, sio mnakurupuka mnafanya jambo ninyi mwadhan mwaona mwafanya jambo zuri la kupendeza n.k kumbe mwakosea Lakin pia ninyi mashekh mnaoalikwa kwenye mashughuli kama hayo mkiona munkari wowote ukemeen na muuseme, sabab mkikaa kimya wao wataona kua jambo walilofanya ni sahihi. Qurโani inapaswa kulindwa kuheshimiwa na kuthaminiwa maana ni maneno ya ALLAH na nimuongozo kwa Walimwengu, haijaja ili iwekwe kama mapambo. Wallahu aalam Wenu Naupenda Uislam
FADHIL Omary Dai
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:40:37 GMT
Music
Download
Comments
Khadija ๐จ๐ฆ๐โช๏ธ :
Mtamsema vibaya Ila ameongeya kweli๐ฅบ
2026-09-13 12:26:16
1288
Rehmy.GPG ๐๐ซ๐๐ :
mungu ndo anahukumu shekhe
2026-09-13 06:30:17
1177
mbappe 10 :
tulio muelew kak fadhili gonga like
2026-09-13 07:23:25
2951
๐ฅraniah๐ฆ๐ :
Ukweli mchungu ila tumeongea ukweli San Allah akujaalie mwisho ulio mwema
2026-09-13 06:20:58
1173
Michael daton :
Tumswalie mtume muhammad S.A.W
2026-09-14 12:56:17
45
Nagy @nagy :
Anayesema ameongea point gonga like hapa๐๐๐
2026-09-13 11:56:49
1142
hamisi jaha :
mashekhe wetu kuna mud wanazingua kwel
2026-09-13 06:24:29
524
Alawi Alaw :
Waislamu Taqbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-09-13 13:55:55
156
JAY SMATY BRAND :
kaka unaongea haki kabisa allah atujaalie mwisho mwema
2026-09-13 06:11:45
773
ThaX_pro.๐ :
daah umeongea fact bro.shida pesa inafunga midomo ya watu.
2026-09-13 07:55:34
261
zaramiskie :
kaka umesema ukweli ila Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-13 07:44:05
146
รhizan แบrain :
Allah will judge them, insha Allah.
2026-09-14 07:42:25
2
Qsmโจ :
fact brother utafika ujumbe inshallah ๐
2026-09-14 14:35:34
0
SAUMU RASHIDI :
Allah atunusuru
2026-09-14 12:10:07
0
kada ramadhani :
muache mungu atahukum mwenyewe halafu Kuna muda mwingine unautafuta umaruufu sisi mbona tumeona natumekaa kimya
2026-09-13 10:12:55
24
halima Bella โฃ๏ธ :
ameniudhiiiiiiii alivyochekacheka Tu ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-09-14 15:08:44
0
Mohamed Kidebe :
Allah atawajibu
2026-09-14 12:29:10
0
purple_real og๐ :
saw ila mungu ndy muhukum n siyo binadam
2026-09-13 15:04:24
6
WABAYA SI WOTE :
jamani Hawa waimba Muzik kama wameamua kuimba waimbe tuu wasichanganye Mambo
2026-09-13 21:05:26
5
Ahzaar 23 :
umesema kweli kabisah Allah atunusuru kweli
2026-09-13 07:43:53
106
Husna hasani๐น :
muache bhn wewe siyo mungu usihukumu mana binadam sote hatujakamilika mkamilifu ni Allaah pekee
2026-09-13 10:06:11
84
MANGO :
hukumu sio kazi yako,Muachie Mungu
2026-09-13 08:40:37
8
user MTU MBADI 0g :
kabisa umesema kweli kaka Allah akulipe kheri
2026-09-13 10:51:06
73
najat_aman :
usihukum kaka allah nd mweny kuhukum
2026-09-13 10:29:03
15
๐ฆMunirah๐ฆ๐ :
Jaman wakuhukumu ni mungu tu peke siyo mtu mwengine so hakuna mwema tushi kwa imani tu kila mmoja kwa upande wake
2026-09-13 11:29:28
11
To see more videos from user @fadhilomarydai69, please go to the Tikwm
homepage.