@fastpromedia: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza Septemba 11, 2026, baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Masjid Swafaa, Gongoni, Mkoa wa Mjini Magharibi. #tanzania #zanzibar #fpupdates

FP Media
FP Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 05:49:07 GMT
17962
793
18
51

Music

Download

Comments

mbaroukseif7
chani :
tagadhari ya wizi wa kura na dhulma ndio hiyo inayokuja hiyo ndio athar ya dhulma,, ujipange Sana lakini Allah anawaina
2026-09-13 07:39:16
5
jannihy
JANNIHY :
Haya maisha tulipofikia pekeake ni almino
2026-09-13 07:25:00
5
kadirkhamis1
kadirkhamis :
yale mafuriko ya kura hamujayaona
2026-09-13 11:10:25
0
zakhil12
user8127745494751 :
Dunia imebadilika maendeleo mazuri lakini kuna hatari zake mazingira ya hali ya hewa muhimu 🥰🥰🥰🥰
2026-09-13 11:39:35
0
abuubakar.mohd4
Abuubakar Mohd :
twende wp
2026-09-13 07:08:29
0
khayriya.salim
Khayriya Salim :
Raisi pendwa. Allah aruhifadhi. ya. Rabb
2026-09-13 12:27:12
0
user8342116113619
Da mwaju :
c mshatwambia twende kwa ndugu jamaa na marafk au
2026-09-13 14:09:32
0
hafidh.said1
goro manii :
boraije maana zulma nyingi Bora ijee 2 tusha chokaa kuonewa
2026-09-13 09:29:39
0
gadafi13224
gadafi :
Wanafiki wanavisa
2026-09-13 07:33:41
3
user4571113519830
user4571113519830 :
wewe umeona tahadhari ya almino .....tahadhari ya dhulma je
2026-09-13 06:45:02
3
husnamohamed2020
Husna's kitchen :
bora safirini msikae mpaka kipindi cha mvua kimalize
2026-09-13 14:12:22
0
user3007427113305
machano :
Olewako uondoke kwenye ulimwengu huu ikiwa umekula malizawatu kwa dhulma Olewako uondoke kwenye ulimwengu huu ikiwa umechukuwa heshima zawatu kwa dhulma ukazaniya kama imepitaivo 😭
2026-09-13 09:51:41
2
prosecutormudy
prosecutormudy :
🥰🥰🥰
2026-09-13 11:07:38
0
warda.yunus
Warda Yunus :
😳😳😳
2026-09-13 09:22:10
0
yaumu.juma
Yaumu Juma :
🙏🙏🙏
2026-09-13 07:27:51
0
salumhaji0001
Salum Haji :
🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯
2026-09-13 17:59:11
1
To see more videos from user @fastpromedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About