@iycsigntv: Ujumbe wa mwana muziki zuchu kwa adui zake Muusika: zuchu 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 13 September 2026 06:00:22 GMT
341861
23999
255
201

Music

Download

Comments

ammah0763
❤️🦋نجمة علي 🌹🦋 :
Mnapenda kuzua mambo
2026-09-13 06:32:04
496
minnie.pie00
minnie pie❣️ :
team zuchu wapiiiiiiiiiiii❤️❤️
2026-09-13 10:12:04
136
hammyally2
hammyally2 :
dada unasauti nzuri
2026-09-13 06:44:01
225
nahyasooud
mama nanana :
alllyaaaa utahara mwaka huu
2026-09-13 06:31:35
171
i_by1234.ramadhni
Issa :
huu wimbo uliimbwa kabla Zuchu hajaanza Mziki na kuwa Star. kwahiyo usizushe mambo
2026-09-13 06:51:45
28
user5992146614172
user5992146614172 :
ukute kaimba tu waja mbon mna mambo
2026-09-13 07:14:50
71
mrs___muu
Mrs ____muu ❤️❤️💍 :
mshaanz kujiamulia mamb
2026-09-13 06:38:37
32
fettyrishiand1
mrs somebody :
jna la nyimbo jmn
2026-09-13 10:22:37
9
its.me.merry.mo
💅🎀𝔐𝔢𝔯𝔯𝔷🎁🎗𝔐𝔬🩰📿 :
aliyah ndo nan tena jaman
2026-09-13 12:47:08
8
smillejaneth
Smillejaneth💕❤️ :
hila jaman wabongo kwa kujiamulia mambo
2026-09-13 11:31:36
24
official_tommy
tommy :
sweet melody 👏
2026-09-15 17:31:02
0
veronicaakasio
Veroqueen massawe :
safi sana zuchu mtungiee na nyingine kabisa
2026-09-14 09:49:22
6
dharmy.dharmaya
Dharmy 005 :
wacheni unafik zuchu hajataja mtu
2026-09-13 10:04:44
17
samy_henna_design
Samy ✨🌸 :
Ko mtu asijiimbie jmn....,,, ila wagombanish mpo kazn 😂😂😂😂
2026-09-13 08:21:21
16
cuteseptember8
September cute 🐆🦋💍💜 :
mnajua kuzua mambo khaa
2026-09-13 08:00:02
11
nuratynabeel
nuratynabeel👩‍❤️‍👨 :
kwahy zuchu alisema hii tarabu imfikiee Aaliyah mana mm jana nilikuwa live sijasikia alisema zuchu😏
2026-09-13 09:00:41
5
official__mouh20
Official__Mouh :
Acha umbea ndo amekwambia hivyo 😳
2026-09-13 19:52:01
6
chuty.chang
SALT :
ila waja ila taarabu zina ujumbe
2026-09-13 14:29:35
5
lovenessnjalamoto3
loveness🌹love❤️ :
mi nipo hapa kusikiliza sauti ya zuchu hayo mengine siyajui hata😏
2026-09-13 07:54:30
15
malkiy67
nourah :
[Sticker] acheni unafki jamani kuwagombanisha watu
2026-09-13 12:26:36
6
janeth.dimples
janeth dimples ♥️ :
washaanza kujiamulia mambo
2026-09-15 18:30:30
3
pau.magesa
pau magesa :
jaman amna dogo
2026-09-15 13:13:34
2
kidii59
kidii :
asante zuchu kwa wimbo huu 🥰🥰🥰
2026-09-14 17:37:57
4
cycyofficial8
cycy _official :
10/10
2026-09-14 13:54:31
3
mkodoz1
amaira mruma :
jina la taarab
2026-09-15 17:48:40
3
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About