@zompahtz: Mke wa boss🔥🔥Njoo YouTube #flypシ #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

ZOMPAH
ZOMPAH
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 06:15:26 GMT
258770
12602
301
367

Music

Download

Comments

salomeisaya
chaome :
omba vyote usikosee sms jaman😂😂
2026-09-13 14:39:46
86
merina.stephano
merina stephano :
huyu baba namuhulumia sana watu tunatamani kuwapata wababa kama hawa hatuwapati
2026-09-13 06:48:37
104
jescaamos195
Jesca Amos :
shangaz nae we msafiiiiii😂😂
2026-09-16 10:27:37
1
ajl9077
AJL :
hivi Huwa ni kweli au maigizo
2026-09-13 10:46:30
28
user6385767668557
the chosen :
jmn laki moja we baba uje ntakua nakuogesha bulee baba[Tears of joy]
2026-09-14 07:11:08
5
nake080
JOHN,PHON,ACCESSORIES,BUNDA. :
Shangazi anajua kilakitu
2026-09-13 08:01:25
30
irenemwabaleja
Reen 🍎 :
jmn uyo mbaba mnipe mm zompah nitampenda mpaka basi 😭😭😭jmn fanyeni ivo
2026-09-13 11:04:42
0
user4652711085840
zuuh💜🌹 :
mbaba hebu uje kuh ss tupoo
2026-09-13 08:53:58
34
user3169954386170
mushi :
me ata Elfu tano sipatat😭
2026-09-13 07:10:22
0
joycemikono613
Joyce Mikono :
naishi kwa 5000 kwacku
2026-09-13 11:57:29
8
user2676134227511
user2676134227511 :
namshukuru mwenyezi mungu sinahisiia
2026-09-13 08:42:04
11
c4054832dbc
kind ❤️ :
bora hata wewe mi nilikosea nikamtumia baba
2026-09-17 10:39:24
0
elow.ra
جوري 🌹 :
eenh ndoa ndoa ndoa nakuita ×3 ilaa heee😳😳
2026-09-15 11:47:51
0
0105mabecca
Mabecca🥰 :
yaan upoje wewe unataka nikose hela Mimi shangazi yako🤣🤣🤣
2026-09-15 06:17:26
1
rubenjr1170
IQ²☠️ :
mwambie anitumie tena msg mm ndio kibenteni 😂😂
2026-09-13 07:07:16
11
21_0..9
✨️✨️ :
sawa ni makosa ila kunishambulia hvo nisingeruhusu mtu mmoja nlemkosea ndo ana ruhusa ya kunsema the rest mngenyamaza tu
2026-09-13 10:14:34
10
omari.mbega
OMARI MBEGA :
ila father nyie ni watu wazima sana kwa sasa tengenezeni familia tuu mkanye mama ajirkebishe tuu
2026-09-15 10:04:50
0
fatimashariff01
fatimashariff01 :
ndoa za kulazimisha hizo
2026-09-13 08:17:09
7
neymar.tanzania
Neymar Tanzania🇹🇿 :
zompa naomba namba ya huyo boss ili anioe maana mm naachiwa elfu tatu
2026-09-15 13:03:55
1
love..family6
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
sasa mkiongea wote hata hatusikii
2026-09-15 06:20:39
1
emilymziya813
Emily Mziya :
kaka sisi tunamia elfu 2000 kwasiku
2026-09-14 11:46:19
0
munawatanzania
user409035605563172 :
Mi Ndo uyo Shangazi
2026-09-14 08:20:25
2
vickie.nassary232
Vickie Nassary🦋🦋🦋 :
weeee baba njoo uku kwangu😂😂😂😂
2026-09-14 11:15:33
2
madafadaffa
mwana 🫣🤩 :
bora me niko singoo toka nizaliwe
2026-09-14 13:22:39
2
user2542102302355
user2542102302355 :
oya ongeni moja moja tupate kuelew
2026-09-13 12:27:54
1
To see more videos from user @zompahtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About