ivi kwann mnaongeaga maneno makali ivi shida inakuaga ni nini😢
2026-09-30 12:23:19
61
Baizza :
Allah mjaalie anae xom comment umpe maixha malefu na umfungulie Ridhki zake Ameen 🤲🙏
2026-09-28 21:19:45
65
ifaadat :
Astaghfirullah 🥺 Allah tusamehe waja wako kwa kutumia maneno yako vibaya
2026-09-27 10:42:47
202
Dogo fahad :
Mungu atusamehe madhambi yangu yote
2026-09-28 11:13:08
20
mwanahkhalfan🌹💞 :
vipenzi hata kama tuna kumbushana dini ila musiwe mnatumia maneno makali 😭 jamani si vizury Kuna kauli munaweza mkatumia na video ikaenda viro mbona binafsi Mimi mnanikwaza
2026-09-26 23:02:22
51
user6830805616508 :
Allah atupe mwisho mwema
2026-09-26 08:48:45
16
fatma mtego :
hakika mnakosea sana kumuombea binaadamu mwenzio mabaya elekeza kwa mazuri usihukumu
2026-09-14 04:23:01
38
naahlv😜🥰 :
mungu ndio anayepanga na siyo kutumia maneno kama hayo,ya Allah tujaalie mwisho mwema
2026-09-28 09:34:37
18
fetty68 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-29 07:57:48
17
ma mpanyu :
taqbir
2026-10-02 08:29:48
3
Farhat Amour :
mtihani huwezi kutoa hukumu km ivo
2026-10-02 07:31:11
6
lynn obe :
allah tupe mwisho mwema
2026-09-26 22:45:10
9
shaks o4 :
taqbir
2026-10-02 15:12:07
1
fetty khan :
taqbir
2026-10-03 12:35:28
4
🦋🦋hammy cute💞🧚♀️ :
allah atujalie mwisho mwema
2026-10-01 20:47:01
7
sam :
baadhi yetu binaadamu tunatumia maneno ya allah vibaya kwa ajili ya kupat comment .Tutumie kauli nzuri kweny manen ya muumba
2026-09-30 16:28:24
5
zainabumbonde570 :
Dini haitak mtoa hukum kaka mwenye kutoa hukum ni Allah peke ake kutokana na matendo yako
muombe Allah msamah ndug yng
2026-10-01 08:31:30
10
MUMYBABY :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-09-29 03:55:25
6
mussahusseni62 :
sasa ayo maneno gan yakuzungumza ndugu
2026-09-28 15:12:19
12
Ilham Tash :
daah me ndomana sipendagi kuingia tiktok yani like ndo ikufanye umuombee mwenzio kifo😳