@swiiftiphonecenter: 🚨 APPLE WAMEINGIA KWENYE WORLD YA FOLDABLE! 😳📱 Baada ya miaka ya kusubiri, Apple imeonyesha iPhone Duo — iPhone inayokunjwa! 🔥 Ukiifunga unapata 5.4”, lakini ukiifungua unapata 7.6” ya display. 🤯 Na Apple haijaishia hapo… ⚡ A20 Pro chip ✍️ Apple Pencil support 🔐 Touch ID kwenye side button 💾 Hadi 2TB storage 📱 Na multitasking kwenye screen kubwa. Lakini kuna kitu kimoja kinachofanya hii iPhone iwe tofauti kabisa… HAINA Face ID. 👀 💰 Bei inaanzia $1,999. Sasa niambie ukweli… Kwa $1,999 ungechagua iPhone Duo au Samsung Galaxy Fold? 👇🏽🔥 📌 SAVE hii post — hii ndiyo direction mpya ya Apple. #iPhoneDuo #Apple #FoldableiPhone #iPhone18 #TechTanzania

Brighton Gunda
Brighton Gunda
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 06:34:32 GMT
5505
201
4
2

Music

Download

Comments

officialabal15
Official_Abal :
bado sana kutumia
2026-09-13 07:06:02
0
To see more videos from user @swiiftiphonecenter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About