@mnkondya_tz: Tujifunze kupitia azizi ki 🥹🥹🥹🙌💔#mnkondya_tz #MR_MIPEMBUO #chekeshaji_la_muda_ote #kutoka_SONGWE_MBOZI👉Please follow me ucheke kidogo 😂😂 🙏

MR_MIPEMBUO✅
MR_MIPEMBUO✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 06:53:56 GMT
78377
10028
195
119

Music

Download

Comments

feysal0066
✨️Feysal :
au timu ya yanga tumpe azizi ki awe kocha mchezaji🥺🥺🥺
2026-09-13 08:48:10
49
user9734431552357
marahadaudi :
Mm naona Aziz k apewe timu tu awe kocha wa yanga maana anamapenzi na timu kuliko ata kocha manqoba mpiga miti 😅😅😅😅😅😅
2026-09-13 07:39:24
76
samwelimaiko8
Samweli Maiko :
namkubal San mwamb
2026-09-13 12:32:24
0
user9451312108508
zigzg :
Aziz ki nikama vile mess pale Argentina ☺️
2026-09-13 09:32:16
2
pis.phina5
pis phina :
I love you so much Azizi ki💚💚💛
2026-09-13 14:40:05
1
peterparker2868
Peterparker :
I love yanga forever
2026-09-13 09:10:31
1
user2605481069733
ALEX :
Hii pichaa imenitoa machoziii jomon amin nawaambien hii ndo filling of love
2026-09-13 08:39:10
1
user432934074810
nick :
Ni uhakika kocha hakusitahili kumtoa Azz ki kwa match ya jana
2026-09-13 09:26:58
15
ryl_451
Royal princess 👸🎀 :
mbona nataka Kulia sasa😥😥😥
2026-09-13 08:22:13
20
khanboy360.0
Muu khan💦🫶💦 :
siku ambayo yanga itafungwa na kutolewa kwenye hatua muhimu afu kocha asipo anza na azizi ki au asipo cheza kabisa ndiyo siku pekee kocha wanga safari yake itafika 🥺
2026-09-13 08:36:04
14
user1060051674551
dogo mussa :
wahoo wahoo
2026-09-13 08:15:00
0
user99962795496196
N :
ndo mana nlkua nasal huyu kaka arud yanga
2026-09-13 08:17:20
5
rastaman2776
Batili2776 :
Daah, Ila kweli brother Inaonesha, alikuwa na Hofu sn vile dakika za mwisho jamaa, wali tukamata sn 🤝
2026-09-13 08:49:23
13
shamila1230
shamila 💦🇹🇿 :
kocha kwann anatukosea anamtoa wann atuachie acheze dk 90 jmn
2026-09-13 08:17:15
9
baraka.juniy
baraka juniy :
Azizi mimi nayeye tunakaa sehemu moja nikiwa naongea nae kwakingeleza huwa ananiamba yang nitimu yake ya moyoni pia nimwanachama anamshukulu Rais Heliss
2026-09-13 07:37:53
8
msemakwelmfinde
Msemakwel Mfinde :
Pole kwa kunifanya nitamani kulia na mimi 😭😭😭
2026-09-13 07:19:19
7
ashurasalon
Cindy beautiful salon :
azizi k ni bora sana nakupenda shemeji yetu mume wa dada yetu
2026-09-13 08:36:53
5
mussashayo0
Mussa Shayo :
machine ya KAZI iyo
2026-09-13 09:58:05
2
user8836354787439mamu
mamu tunu :
Cochi alikosea mno kumtoa azizi wallah
2026-09-13 08:26:05
7
chief.ismair.yaas7
Chief ismair yaasrli :
hao ndy wachezaji wanao jua umuhim wa kaz yake
2026-09-13 08:55:11
1
12officially_jz
𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟𝗟𝗬 𝗝𝗭👑🕋 :
Wanaoamini atakuja kuwa kocha wa yanga gonga like hapa 🥹🥹
2026-09-13 10:15:53
1
davidanderson1852
David Anderson :
kweli kaka umeona kama mimi huyu si mchezaji wa yanga tu
2026-09-13 09:46:30
3
cheka.unye
Pop Ibrahtz :
daaaaa nakukuli sana kaka
2026-09-13 09:45:17
2
bukelebepaschal32
Bukelebe Paschal :
apewe ukapten
2026-09-13 09:44:15
2
user8421776765996
Chengula Aluminium 0749600721 :
azzk nizaidi ya kocha
2026-09-13 10:06:09
2
To see more videos from user @mnkondya_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About