Madereva wote tuseme toka mioyoni mwetu,, RIP,,, uncle 😭😭😭😭
2026-09-15 14:38:20
1
momo :
shida yamadereva imeanzia hapo
yule mwenda zake alisema mtanikumbuka. kweli tuna kukumbuka
JPM
2026-09-15 06:05:20
6
Buruhan rahimu :
duuh tukale wapi sisi
2026-09-15 15:56:55
0
Ismaily :
sasa hata chuo niliosomeaa kumbe washakifungiaaa sasa nirudi shule tena ndo nirudisheee lessen kweli😂😂😂
2026-09-14 19:20:01
1
Faustin Luambano :
udereva una standard zake dunia nzima
2026-09-14 14:27:10
4
man :
wewe mama nakosa neno lakukwambia ila Mungu anajua
2026-09-15 15:49:06
0
Hussein sajan :
kwanza warekebishe barabara na kutanua sehemu nyembamba alf wadhibiti rushwa sbb kuna makundi wanaendesha vyovyote na traffic wanawachekea tu alf kundi la magari ya serikali wao wanaendesha vyovyote utaskia wao ndio wana haraka. alf ndio sisi wengine ata ukivunja bega kosa. dawa wekeni camera zijiendeshe apo naamini hakuta kuwa na ajali za kijinga
2026-09-15 09:42:53
1
user5965793772617 :
shida polisi hakumuelewa mheshimiwa ame semahivo kwa dereva anaeanza kukukataleseni wenye wamedili na mtu ambaye kashakuwa dereva
2026-09-15 16:06:50
0
user4039037778112 :
ASANTE MAMA MUNGU AKULINDE TUSAIDIE
2026-09-15 15:10:44
0
juma yassin :
hii ishakuwa sio kazi tena
2026-09-14 16:28:58
2
Aidan Kahama :
shida ilianzia hapa watu washapewa uhuru
2026-09-14 17:07:25
2
105 CLASSIC STORE :
HATUNUNUI MAGARI SASA 🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 13:39:05
0
KALAMU :
Hayo mashart yaliwekwa kwenye kuwa Daktari wa Binadamu🔥🙌
2026-09-15 13:50:09
0
Godfrey Lawranc :
hapana mama ajasema mm atachosema mama ndicho nafanya
2026-09-14 12:07:33
1
user8585815262140 :
Madeleva niyatima emungu tuhurumie
2026-09-14 11:48:57
1
ELIMAS :
Sawa.
2026-09-15 13:43:35
0
ditirick mtalemwa :
mwalimu
2026-09-13 15:17:30
0
malisa rigosons mchanga :
ulimwengu sidhujsaaa
2026-09-15 12:08:16
0
🦓 Mr.Zebra 🦓 :
hii ndio kauli inayotuumiza sana kuhusu huyu mama
2026-09-15 11:05:27
0
Baraka Mbise :
tumekuchoka bwana 😥
2026-09-15 16:44:03
0
LEONARD THE AGENT BUS 🚍 :
sasa mimi si mzanzibari kwani hamujui
2026-09-15 13:23:03
0
Morgan Ecu - No 1 :
Vina Mwisho
2026-09-15 11:15:25
0
Joseph Madundo :
Kila lenye mwanzo lina mwisho ndiyo tunazaliwa na tunakufa pia kwahyo yatapita tu ni mda wake
2026-09-15 11:32:36
1
user3325293884239 :
kumbe
2026-09-13 21:13:28
0
To see more videos from user @0654123700.whatsap, please go to the Tikwm
homepage.