mimi ni Mzanzibari lakini kitu ambacho sikipendi wanzanzibar tunajiona sisi ni wakamilifu wakila kitu hatuna makosa yoyote
2026-09-15 16:10:13
44
kidole kimoja juu :
kaza sauti mwanetu watapita na wewe
2026-10-20 14:35:17
7
msovietTz :
Kaza sauti au soda aina gas
2026-09-21 14:00:38
16
official illham :
na wazanzbar walioko uku bara tutawatimua😁😁😁
2026-10-13 18:59:38
5
officially abby :
tatizo sisi muda mwingi tunatafuta pesa mapish tutawaoa mutupikie
2026-09-13 09:23:19
24
Ms.angel 🦋🌺 :
Chengine ndo chakula gani 😂😂
2026-09-15 00:09:17
11
batez :
mie ntanganyika lakini kweli tumezid kula ugali
2026-09-15 12:43:23
2
Kahil hatun 👑👑💎 :
Jamani me mgeni hapa. TikTok kwani huyuu ndo zuchu au 😳😳
2026-10-13 12:53:31
6
dulla :
uhakika
2026-10-17 17:23:18
2
sapna :
ukikua utaacha
2026-09-15 10:01:41
6
kijingili mamu :
kaza sauti wew
2026-09-15 04:14:41
4
Mabele11 :
turudi kwetu wapi nawakati dunia niyamungu ww unanchi WWE
2026-09-15 05:49:45
5
asiya37728 :
turieni kidogo tunarudi muda sio murefu
2026-09-13 20:56:08
4
mamy luhuu :
kafilane uk
2026-09-26 09:10:15
1
Abdillah Jr :
uhakika iyooo
2026-10-17 19:06:40
1
Abdy Abdi :
halafu hapo tunajita waislamu tuloshiba dini uislamu gani tulokuwa nini sisi kigezo chatu ni mtume je mtume alikuwa anajiona yeye bora kuliko wengine? tupunguzeni ndugu zangu wa Zanzibar huku tunapoenda siko
2026-09-15 16:10:00
3
violeth :
sawa dda irhamu tumekuelewa
2026-09-23 21:16:44
1
Rukia mawani :
kwazanzbr gn weeee onyooo
2026-09-22 11:04:16
1
women of mbarara :
soda haina gas
2026-09-22 10:41:20
1
mo mchati..12 :
siyo chengine kingine
2026-09-21 19:19:21
1
0773359151 :
alihamdulillah lizik ipo kokote kaka
2026-09-22 19:12:47
1
Ma'alim Sultan :
Mbona nyinyi mnaongea hivi....
2026-09-23 15:25:47
1
Maxme Lamal :
aliye kupa simu nani
2026-09-15 15:40:46
2
To see more videos from user @chidybrand2, please go to the Tikwm
homepage.