mimi nashangaa sana Rais alishinda kwa 98% sasa uchochezi uko wapi?
2026-09-14 08:07:09
6
halla Madrid :
sasa mzee zile asilimia 98% walizitoa wapi kama vituo vilichomwa
that means kama uchaguz uliharibiwa matokeo yaliyotangazwa sio ya kweli
2026-09-13 15:37:29
3
Juma Mussa :
Lissu ana hatia ya uhaini hivo chadema na wanaharakati wao inabidi wawe wapole wafanye maridhiano na serikali na rais Samia atamsamehe sababu ni mpole, muungwana na mwenye huruma na chadema wanajua hilo lkn wanajitoa fahamu wanadhani kumchafua rais wao watapata mataji wa kisiasa na kua na upper hand kwa watanzania.
2026-09-13 12:02:59
6
Teacher :
WHERE IS NCHIMBI & POLE POLE?
2026-09-13 13:37:15
2
Joseph Mwanilez :
Kwahiyo unatuaminisha kuwa wewe unaijua ssheria zaid kuliko wanasheria wengine apa Tanzania?
na je 98% zilitoka wapi wakat uchaguzi ulivurugika
2026-09-16 18:28:22
0
safwan :
asilimia 98 ni ya kura zilizopigwa amazo zote zilimchgua yeye baada ya upinzani kususia. sbb kura zote zilikuwa za ccm na vyama vdg ndio hzo asilimia 2 zilizobaki
2026-09-15 17:08:33
2
sada bakir :
haponi kabisa hilo ndilo jibu.
2026-09-18 18:05:28
1
Daudi Lutambi :
KUNA WATU WANA MAPENZI NA WATU HATA KAMA JAMBO LIPO WAZI WAO UBISHA TU
2026-09-13 10:50:13
1
Kabogi bigarama :
ndugu yangu upo sahihi
tuliowengi hatujui sheria ispokua nimihemko na jaziba za kijibga ndizo zimetawala kwa watu wajinga.
nimekuelewa vizuri saana.
2026-09-18 05:31:26
1
my country :
upo wapi Sasa ivi
2026-09-15 04:22:44
1
ally :
♥️♥️♥️Mbona unaelekeweka 🙏🙏🙏
2026-09-17 05:42:55
1
Rose Mollah :
nilikuwa Tyr kukusikiliza lkn woi
2026-09-13 17:30:13
2
Kigis Jordan :
hapa hakuna kitu 😊☺️😂
2026-09-14 10:34:44
1
Borah Lemmy :
una Akili sana na umetusaidia kuelewa zaidi Asante sana
2026-09-15 06:52:36
2
💦fyn gal🥵🙈 :
mimi naunga mkono namuomba rais amsamehe mungu amubatiki
2026-09-13 18:59:16
2
over50 :
sasa si angeahirisha uchaguzi, aliwezaje kushinda uchaguzi sasa
2026-09-13 13:30:26
2
we huogopi :
mbona kama umeeegemea upande mmoja balance uchambuzi ndugu yangu
2026-09-13 11:29:00
2
Kigis Jordan :
hapo hakuna kesi ccm walimpa ushindi lisu kwa kujitangaza kushinda kwa %98
2026-09-14 10:32:55
1
Alex :
tuletee taarifa za nchimbi
2026-09-13 11:10:13
1
R4 :
Unacho kiongea kina mantiki kiasi fulani lakini we unadhani kwanin Shengoma hajakamatwa mana yeye ndio katenda kabisa
2026-09-14 12:34:48
1
jestonestory :
taira hukumbuki hizo taarifa hazijaingizwa kama ushaidi mtu amshinda kwakishindo
2026-09-13 18:54:55
1
PAPA RORO🇹🇿🐓 :
nakataa maana kwa Mimi sikutika ila sijakutana na clip hata Moja iliyomuonesha muandamanaji ameshika silaha yyt Ile so nakataa asilimia99%
2026-09-19 12:59:31
0
D :
sijawahi ona kama wanakusikiriza wenyewe ,unasumbuka tu
2026-09-13 09:58:49
0
To see more videos from user @user4473487999153, please go to the Tikwm
homepage.