The way Diamond avoid the other son is getting out of hand and it's sad
2026-09-13 09:27:46
521
Reen :
Diamond na zuchu wanapenda sana kuenjoy tahiya😂,I just love the way they vibe with her🥰🥰
2026-09-13 14:26:03
25
Tinashe🧚♂️🖤🤍🩶💫 :
who's that last girl diamond plays so much with her 🥰
2026-09-14 05:37:02
79
Lilian Gululi :
Sisi wangine wajomba zetu wapo kutushika uchawi tu 🥺🥺
2026-09-14 06:40:05
152
Anneh021.0 :
ni waz aliyesukumwa ndo anapendwa sana🥰🥰😁
2026-09-13 11:51:23
865
SWEET EUNICE 256🇺🇬🇰🇪🇸🇦 :
But this girl for who please l want to know??😳😳😳😳
2026-09-13 22:19:34
17
The Real Furaha ✨ :
Mbona daimond na zuchu wanampenda ivyo taiya
2026-09-13 10:17:33
219
Amelia Hammy :
naomba kujibiwa huyu bint mkubwa nj wa nani nampenda
2026-09-13 09:13:43
94
Happy Mjema :
huyo mdada hapo aliyesokolwa na diamond ni nani yake?
2026-09-13 17:49:31
48
Lydie :
ivi toka lini mjomba anataniwa jamani😳😳😳😳
2026-09-13 09:13:50
101
Nicolas :
she looks like diamond mom
2026-09-14 10:35:57
3
bongoflavaa :
criss MJ his music is different from any art 🎭
2026-09-14 15:24:42
2
ski :
the oldest girl is a carbon copy of Diamond's mum [Gesture OK][Red heart]
2026-09-14 15:14:57
0
mersh :
tahiya anapendwa sana kwa hii familia
2026-09-13 10:07:21
85
official_letique :
:nampenda sana mjomba wangu, kanisomesha bugando miaka minne hataki nimuombe mama hata 100, 🥰🥰 jamani mjomba wangu Mungu ambariki na kukuongezea kila siku
2026-09-14 08:37:03
8
💞It's Me👠🇰🇪 :
kiukweli mtoto wa dada yako ni wako🥰
2026-09-14 05:03:45
18
neylov :
uyo sio mjomba jmn n uncle kuna tofauti kubwa sana apo😁
2026-09-13 20:21:25
17
faith :
stop i isolating the boy for sure
2026-09-14 06:19:14
12
Aisha )🥰 :
Mimi mjomba wangu mkali kama pili pili jamani 😂😂😂
2026-09-13 15:36:11
17
grace model :
ma uncle wangu sasa ndo adi tunachezaga rede
2026-09-14 00:33:22
6
🥰AUNTY.M.🥰 :
Taiya amekua na mjombake mpaka wamezoeana hadi raha ata niliona zuchu hakumu hug alimfanyia utani 🥰
2026-09-13 14:33:25
9
Maya Maia :
Nilijua dada wa kazi wa mtoto wa tanasha mana mda mwingi yupo nae
2026-09-13 10:41:41
6
To see more videos from user @official_idrissy, please go to the Tikwm
homepage.