@bondeicon_brand: Msanii Nandy amefunguka katika usiku wa 40 ya Mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz kuwa hana Bifu lolote kati yeye na Zuchu kwani ni Marafiki wakubwa na hata wakati mtoto amepewa jina yeye ndio aliambiwa... #nandy #zuchu #trendingvideo