@jumberajabu369: Leo hiyo tanga nako cjui mabas yananin

Jumbe Rajabu
Jumbe Rajabu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 09:06:31 GMT
112751
3783
166
174

Music

Download

Comments

user5391759860523
Ayman :
Allah atunusuru
2026-09-15 14:44:02
0
wilbatybrison
WILBATY TRUCK DRIVER 🚒 :
poleni
2026-09-14 09:17:23
0
user27098126577650
maghambo :
mbona Tanga tumeandamwa, round hiii duh
2026-09-13 13:05:22
17
user6148507210988
user6148507210988 :
subhan llaaaaaah
2026-09-14 06:11:46
1
kenyatta906
kenyatta :
hili si ra handeni hili jamn
2026-09-13 16:29:23
13
user9357377374736
SIMBA LANGILA :
vipi kuhusu hali za abilia zipoje maana sitaki kujaj gar sana yapo mengi na yanatengenezwa ila sio ndugu zetu walopanda gar hilo plz nijib tafadhar
2026-09-13 17:48:03
7
rehemaibrahim546
cute ray :
watu wa tanga mungu ututangulie kwakweri mana so kwaajali hizo 😳
2026-09-13 17:02:07
5
medy0589
medy :
Ni ya lini hiyooo
2026-09-13 10:44:34
1
user9915832321100
JOVINUS JOHANSEN :
hii kampuni hinunue mabasi mapya mengi yamechoka
2026-09-13 17:29:39
1
saumualliy
bruxo walker :
jamani wifi Asia vp uko poa kweli
2026-09-13 22:33:59
1
rahma.fadhili0
Rahma Fadhili :
mkumbuke huu n mwez WA Tisa mwisho wamwaka huu😥😥
2026-09-15 10:18:03
0
maliasili3
Maliasili :
sister poleni san
2026-09-13 21:00:28
1
sikamonaomary
Dr.Sikamona :
daaah mtihan!! basi la kwetu HANDENI
2026-09-13 14:55:28
0
jaxnationto
JAX Young's :
Kwan hii ndo ya Juzi au jengne
2026-09-14 21:46:04
1
user6605028138156
user6605028138156 :
tunashulu mungu watuwote wanetoka salama
2026-09-13 19:54:39
2
user2416873861956
sindi boy"" :
maboss wenye mabasi tanga watakuwa wanalogana maana sio kwa hizi ajali watanga tuangalieni sana
2026-09-13 20:28:42
2
bray.lyimo
bray lyimo :
tajir alipo ana chekaah
2026-09-14 03:55:00
1
msrlove602
My family ❤️ :
TASHIRRF hipo wap hisaidie shemeji yake 😭😭
2026-09-14 03:31:54
1
zu.baby4
zu baby :
hyoo ya tanga mjin au familia yangu jaman weng wamekuja tanga kwenye 40 ya bibi
2026-09-14 18:38:16
1
azizi1dalali
Azizi Dalali Tanga :
IMETOKEA TANGA SEHEMU GANI!?
2026-09-13 20:04:16
1
a_moo_1
A.Moo :
inasikitisha sana
2026-09-13 17:08:37
1
sxwerdi
sxwerdi patch :
ili kuwa nn shida
2026-09-13 15:38:41
2
muhina.mssambala
Muhina Mssambala :
maeneo gani hii basi imeungua labda
2026-09-13 16:25:07
2
sharifa.nuru3
Sharifa Nuru :
😭😭😭😭😭Daa nyumbani huko imekuaje
2026-09-13 17:18:21
1
rauph.graphics
rauph graphics :
Nilishawai kupanda Tahmeed kutoka Mombasa tulipofika Mbwewe Dereva akaseja Disk zimepata Joto hivyo Lazima Zifanyiwe Marekebisho, Nakumbuka Fundi alitoka Tanga hadi pale
2026-09-14 11:25:45
1
To see more videos from user @jumberajabu369, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About