@bollolifestyle: 🎨 Rangi si mapambo tu, ni utambulisho wa nyumba yako. Bollo Paints & Decor tunakuletea rangi zenye ubora wa hali ya juu na huduma ya kuchanganya rangi kwa computer ili upate rangi halisi unayoihitaji. Iwe ni nyumba, ofisi au biashara yako, sisi tunahakikisha matokeo yanavutia na yanadumu. 📞 Wasiliana nasi leo: 0767 850 982 | 0767 209 480 #BolloPaints #Decor #Arusha #TopInTown#QualityPaints