sawa naona mshasahau kuna watu wanalipwa mpaka 40M+ kwa mwezi😂😂
2026-09-13 13:15:49
1
zanzibar :
wachezaj wa mpira
2026-09-13 17:46:49
0
Chakubuta Mwamba :
Inategemea kama ni mshahara wa Mbappé au wa mwalimu.
2026-09-13 16:41:02
0
John CEO :
Bro toa iyo fikra. kunawat wanalipwa 10M+. mfanybiashar anaengiz profit y 10M kwa mwez capital yke n kubwa pia. kiufupi punguzen ushaur kil mtu ananjia zake z kutfut utajiri.
2026-09-13 12:24:44
0
patrick_mindfullness :
kuajiriwa ni utumwa😂
2026-09-13 12:09:47
0
yassein_01 :
Michezo tu
2026-09-13 14:33:15
0
monami16🪖 :
mzeee big up sana Sanam lako lijengwe angan wat wasilione
2026-09-13 12:56:21
0
Isaya Daniel :
Acha kufananisha duniani na Tanzania. hapa bongo watu wanalipwa posho siyo mshahara
haya maneno yanaongelewa kama mzaha, kila kukicha yanazidi kusambaa, ila hapa tunajitengenezea kizazi cha wakataakazi kwa tamaa ya maneno yanayoongelewa mitandaoni, kua hawatakua matajili, mwishowe kizazi kitakataa kazi na huo utajili hautapatikana kamwe
2026-09-13 16:16:13
0
To see more videos from user @mkwanjaonline1, please go to the Tikwm
homepage.