@dr.jessy09: Hii ni kwajili ya Wajawazito wote#foryou #fypage #babyboy💙👶🏻

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 09:15:00 GMT
24686
2047
127
26

Music

Download

Comments

kabinti_special_
Kabinti special 🦋💕☘️001 :
Ntaingia Mlango wa Reba na nita Toka salama December Kwa jina la Yesu🥹🙏
2026-09-13 10:28:58
105
user492874735419
user492874735419 :
Umejuaje Dosta
2026-09-15 04:31:13
0
user9820388739799
Flora Mayala :
Mimi na mwanangu tutaingia leba na tutatoka salama kwa jina la Yesu🙏🙏
2026-09-13 10:35:12
43
dubequni3770
🎀deedollars✨💫 :
Kuna mda naogp yan sjh nimebeba nini tumboni, sjh ntajifungua salama au laah🥹🥹. Eeh Mungu nisaidie 🙌🙏🙏
2026-09-13 17:15:28
10
onike.yoram
Onike Yoram :
mimi pia jaman nakuwa na hofu mngu anisaidie team October
2026-09-13 16:35:08
6
user1786860581992
gloria :
Sintakufa ntaish mimi na mwanagu Amen
2026-09-13 10:31:52
18
eva345038
Eva :
mungu atuteteee
2026-09-13 14:34:04
1
upendoww
upendoww :
yan nimm jaman najiuliza nitaludi kweli jaman mpaka natamani niache usia
2026-09-13 11:40:33
0
agapelukas0
rosee :
mimi na mwansngu tutaingia leba na tutatoka salama katika jina la Yesu kristo sawa na Isaya 41: 10__
2026-09-14 05:52:12
4
mariam.sufiani6
Mariam sufiani :
Mimi nahofu mbaka napitiliza sina raha team september
2026-09-13 17:07:48
1
user5871774605559
catherine :
nitaingia leba na nitatoka salama mimi pamoja na mwanangu ameeen
2026-09-14 20:34:49
1
happy.dee804
happy dee :
Amiin sitakufa nitaishi niyasimulie marendo makuu ya Mungu
2026-09-13 13:36:21
2
fatma.omary37
Fatma Omary :
nitajifungua salama bila hofu yoyote kwa jina la yesu
2026-09-14 13:52:17
1
joyling6
joyling :
Nina ushuhuda jmn nikuamin tu nakuomba tu Mm nimeomba niumwe uchungu leo kesho nikajifungua tena muda uleule nilio omba jmn Mungu yuko 🙏🙏
2026-09-14 17:44:45
1
cecylia60
cecylia60 :
Amina dada.. libalikiwe tumbo lililokubeba , ni daktari mzurii lkn unamjua MUNGU vzur.. ubarikiwe🥰
2026-09-13 18:37:34
2
hassan.milanzi2
Hassan Milanzi :
mungu nilinde mimi na mwanangu tuingie leba na tutoke salama kwa jina la yesu
2026-09-13 18:25:06
1
6434kirschistein
Kirschstein 😝🦋 :
Amen
2026-09-13 10:20:50
1
neema.elisa2
neema elisa :
amina
2026-09-13 11:59:41
0
beautyjennipher
beautyjennipher :
amen 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-09-15 20:39:04
0
user6038034838698
desterasta rumoy :
amina doctor wetu
2026-09-15 09:11:33
0
user2030530367427
phia🥰 :
amina
2026-09-15 19:59:49
0
user492874735419
user492874735419 :
ameni ameni
2026-09-15 04:33:31
0
yothamyudas1
yothamyudas :
mm na mwanang tutaingia leba na tutatoka salama katika jina la yesu
2026-09-15 04:27:38
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About