ningekuwa rais wa nchi[Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 10:57:50
2
Obama Mkono :
wanangu wa benki tujuane
2026-09-13 16:41:39
586
😁THOMAS family🐷 :
nachoka mm
2026-10-01 12:19:14
0
shedy king :
tuliokimbilia kusoma comment tujuane 😁😁😁😆😆😆
2026-09-13 11:54:36
269
RAMBO 24 :
ningejarib kuongea na mama samia tuwe na mahusiano ya 24 hous tu naomba like ww unaye som hii emoj🤣🤣
2026-09-14 01:54:46
282
G master🩶💫 :
mda uo nipo ikulu na sijuh natafuta nn🤣🤣
2026-09-14 04:59:29
60
Vinkid 09 :
::Jaman tuwe makin Sana na vitu kama hivi , unaweza ukajikuta unaingia kwenye matatizo bila kutegemea na hii ndo shida ya sisi watanzania na inatuponza sana unakuta mtu yupo serious kabisa anasoma comment yangu badala aandike ya kwake🤣🤣🤣
2026-09-14 17:37:15
50
zay💕💕 :
mi ningekuwa rais🤣🤣🤣
2026-09-29 20:51:41
5
🥰smile_princess👑👑 :
wale wa wanangu wa benki tujuane hapo tia kopa
2026-09-14 18:53:57
35
Batez kidd☠️ :
oa wakuiba benki tujiandae
2026-09-24 20:42:54
7
MuuEnosh💞 :
Kweli tena me ningehamisha bank 🏦 😒
2026-09-13 11:49:08
20
KEZZY 💵💵💰 :
Wazee wa Bank mko wapi 😂
2026-09-15 13:45:48
8
user7748454488755 :
ninge kamata magari yote ya mkoani chini yang man,,,,,😂
2026-09-20 16:49:37
7
Sharifa mbaraka :
wasoma coment tujuane👆👆
2026-09-26 08:56:22
7
halifa :
utasoma komments mpaka wap
2026-09-20 11:12:34
5
Mtindo :
Wanangu Wa benki Mko Wapi
2026-09-14 17:55:33
5
Team Bazenga :
Tulio kimbilia kusoma comments 2juane 🤔
2026-09-23 08:06:06
15
loskipha laizer :
au mi ningeiuza serikali nipunfuze madeni ya nchi simnge nipa kura wanamgu nianse.kaz
2026-09-13 18:34:19
8
phoenix :
mpaka masaa yafike kutakua hakuna serikali
2026-09-27 20:14:06
5
Karaja boy :
oyi wataram wa kucheza na comments tujuane
2026-09-27 16:34:53
5
Ayzaq Sayd427 :
lakn ATM mashn c znavunjika zile
2026-09-15 04:43:24
19
ipogolo finest 💯💯 :
ambao hatujui tungefanya nn si tupo
2026-09-17 09:57:38
23
Mwanaidi msangula :
ningeend kuiba benki chapu😍😍😍
2026-09-13 19:11:45
17
Zuwena Humoud :
Ningeenda kuiba bank ya jamii[Tears of joy]
2026-09-29 17:28:03
5
YAHYAJB :
ningeenda kuunga WIFI ikulu ili niingie tiktok
2026-09-13 15:22:39
11
To see more videos from user @iam_page3quotes, please go to the Tikwm
homepage.