Waambieni Shasha Man na Mwalimu wamalize Ego zao…wote ni wazur… Shasha man kapewa asist … mwenzie kamfuata kushangilia yeye bado anaweka pozi za kibosi…wakumbishwe kuwa mchezaji hawezi izid timu
2026-09-13 10:05:40
2
side mnyamwezi :
TOP🙌🫡
2026-09-13 09:45:10
1
Dalali MZAWA 🫶kibaha pwani🙏 :
2026-09-13 10:38:57
1
zil one tz :
ni swali tu hivi ni kwa nini safari ya mabao mengi ya yanga yanaanzia kwa Max
2026-09-13 11:18:03
1
Mr Positive🇹🇿🇶🇦 :
goat 🐐
2026-09-13 09:46:24
1
Joel's Jamestown 🔹️ :
jaman sis washabiki tunawaomba sana huyu kocha awe ana fanya substitution za akili maan wengine hapa huwa tunawabetia ile siku mmetuchania mikeka jan tumewaomb goli tatu mpate lakin mmeshindwa
2026-09-13 10:46:12
1
Lil_patchu :
yanga bingwa🔥🔥🔥
2026-09-13 09:47:52
1
CASEMIRO✨👑 :
ila MAX🙌🙌🙌🙌
2026-09-13 13:42:16
0
SSaadyy@2026 :
Allaah Akbar
2026-09-13 12:41:17
0
Sqndag Acrey :
Wachezaji wa Yanga, Max Zengeli na Mudathir mnachelewesha pass na mara nyingi mnapokea mpira wakati hamjui pa kupelewa ndiyo maana binafsi mnaonekana wazuri kwa kukaa maeneo sahihi lkn pass sahihi za kwenye nafasi hamtoi na mnachosha forward na kiungo wa juu. Mwalimu fanyia kazi hili kwani pass za chini wanatoa vzr lkn wakifika juu hawana nipe nikupe…pitisha kwenye nafasi. Pili cross nyingi za Yanga hazina macho mara nyingi zinakuwa bora cross si cross bora na sahihi. Wanapenda kuchopu cross hata sehemu hisiyohitaji na cross ya kukandamiza eneo la penalty na box la sita hakuna. Aiseee wachezaji wazuri lkn technical angalieni haya na yakifanyiwa kazi nitarudi na mengine mawili hasa eneo la kubadilishana nafasi uwanjani na mikimbio ya formation ya 4:4:2 na 4:3:3
2026-09-13 14:06:12
0
Dalali MZAWA 🫶kibaha pwani🙏 :
2026-09-13 10:39:12
1
Abed Adam :
YANGA BINGWA
2026-09-13 11:53:59
0
YOUNG FIGHTER TZ :
Nan Mwingne Kagundua hv Azizi ki katoa pass kwa mguu kwa KUSHOTO mwalimu katoa Asist kwa Mguu wa KUSHOTO Alaf sha sha man akafunga kwa mguu wa KUSHOTO😂😂😂
2026-09-13 10:40:21
6
M@kupul@ champions 🏆 :
master k hapa ilikuwaje
2026-09-13 10:26:42
0
Ofao cosmetics 💄 :
mbona kama magoli yote mawili yamefanana au nyie mnasemaje[Tears of joy]
2026-09-13 10:51:50
0
Madam Happy🫰🏼 :
Hili goli lilipikwa kitaalamu saan mpaka kuingia nyavuni 👌 🔥
2026-09-13 10:58:27
0
Sports HD :
incredible
2026-09-13 15:37:42
0
Dalali MZAWA 🫶kibaha pwani🙏 :
2026-09-13 10:38:42
0
To see more videos from user @youngafricansscofficial, please go to the Tikwm
homepage.