@rajab.afya.plus: unakula chakula kingi, unashiba sana… halafu baada ya muda mfupi unaenda kulala au kujilaza. baada ya hapo unaanza kuhisi: 🔥 kiungulia 🔥 acid kupanda kooni 🔥 ladha chungu mdomoni 🔥 kubelch mara kwa mara 🔥 kifua au koo kukereketa sababu ni kwamba kulala muda mfupi baada ya kula kunaweza kufanya reflux iwe rahisi kutokea. 💡 jaribu kumpa mwili muda baada ya kula kabla ya kwenda kulala, na epuka milo mikubwa sana hasa karibu na muda wa kulala. lakini hebu niambie ukweli 👇 👉 wewe ukila usiku, huwa unasubiri muda gani kabla ya kulala? dakika 30, saa 1, saa 2 au zaidi? andika jibu lako kwenye comment nitakushauri kitu👇 #foryoupageシ #trending #viral #usa🇺🇸 #acidreflux

Rajab afya plus
Rajab afya plus
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 September 2026 09:59:14 GMT
250
1
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @rajab.afya.plus, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About