hapana ali kamwe na injinia wanajua wanachokifanya sio sahihi na ipo siku watakigarimu taifa wakati huohuo ali anajifanya mtabiri anatabiria athar za mipango Yao.
2026-09-13 11:32:17
9
revocatusmavazi :
wapokonywe point caf fanyeni kazi yenu tukiwachekea Hawa watatuchelewesha nchi kufikia malengo caf
2026-09-13 11:31:30
12
kimbanga :
sio viti mumepiga wenzenu🫵🤣🤣
2026-09-13 11:41:05
6
Velmin :
jana mbn umemtum mtu akapiga ya pua kwa kocha
2026-09-13 19:05:32
0
julius@gitanu646 :
kumbu huyu shabiki wa yanga kuna mda anaongeaga point ila mmedhalilisha sana taifa letu