NAYAKUMBUKA MANENO YA LEMA JAMANI MI NAPITA TUU NAFUNGA DOMO LANGU
2026-09-13 18:40:38
5
samah_serum :
acheni kupotosha watu
2026-09-13 15:47:52
2
odinga :
ccm mbele kwa mbele utu na kazi
2026-09-14 11:34:07
0
Daniel vaginga :
nihabari za kweli hizi?
2026-09-13 12:04:02
4
princess :
what's going on in Tanzania 😏😏😥😥😥
2026-09-13 12:46:30
2
Shamshir :
jamani hii chadema inamaliza watu kwA kusema ccm inateka jalibuni kufatilia wanatumia kila mbinu muichukie ccm chadema ni majambazi sugu lakinu baadhi yao
2026-09-14 09:48:22
1
user5819104873346 :
jamn nia habari za kweli mm naludi malawi mpk naogopa kwan rais wa Tanzania ninani jaman
2026-09-14 09:41:46
0
mme wangu2000 :
hyo sio mada kaka 😁😁😁
2026-09-13 21:19:51
0
rehema sanga :
2026-09-13 18:24:53
3
prinh og :
eeh jaman tunachok kusikia ivi vitu na vizazi vyetu tutawaambia wasishugulike na siasa bc