kuwa mtu mwema, kuwa na huruma, samehe haraka,,, haijalishi dunia itakuja na vitu gani kubadilisha moyo wako,,,, kuna watu wamekuwa wema kwa sababu ya watu wenye moyo mzuri
2026-09-13 14:32:42
5
AnnMimis :
Biblia inasema samehe saba mara sabini: Tutasamehe sana tu
2026-09-14 17:10:52
0
Mary :
dada nina roho nzuri lakin ukinikwaza hunipat tena nakinai
2026-09-13 19:10:19
3
main :
Umeamua uniseme
2026-09-13 12:33:05
1
Don Frankooo :
Thank you❤️❤️❤️
2026-09-18 15:48:29
0
Your Bestfriend ❤️ :
Nimelijua hili sasa hiv naheld watu accountable, na lazma wanikumbuke maisha yao yote🤣
2026-09-14 05:56:46
0
grace model :
bora kijipitie zangu maana iyo roho sina...
2026-09-13 18:17:00
0
Nancy kilua :
Hata wazungu tuliwasingizia hizo roho nzuri
2026-09-13 18:28:58
0
Emmanuel :
madhara wanayajua watu hawafanyi vitu bahati mbaya dada
2026-09-14 11:53:40
0
neyvin🥰🥰 :
😳mbona kama upo right
2026-09-13 18:07:06
0
Rose Albert 🌹 :
Hii ni fact 💯 hata MUNGU anamipaka jamani, watu wanafanya vitu vya makusudi kabisa accountability hakuna
2026-09-14 07:52:12
0
Jescah❤️🌸 :
2026-09-14 04:42:04
0
Ciyah🥀 :
Ni kwel ila ukikaa vzur na wat wenye roho nzur wanafanya hivo sio kw sbb ya wat ni kw sbb ya amani ya moyo wake akiacha kufanya wena yey nd anateseka so kua na aman ya moyo ni kitu muhim na wat weny roho nzur ili apate amani ni afanye wema , kizur people know what they are doing at ukisem usiwafanyia wema still hao wat wataendelea kufanya wanayayotak
2026-09-14 10:37:15
0
🌹 :
Ohooo
2026-09-13 10:50:57
0
Landafilmz :
Mimi Nina huruma Sana Sana ila ukikosea ni lazima nikupitishe kwenye maumivu mpka nihakikishe umejutia ulilofanya kwa sababu Kwanza nimezaliwa kuwafundisha wengi sio kwa kuwaonyesha huruma hapana ni kwakuwapisha kwenye maumivu ili waujue uharisia wa Dunia
2026-09-14 18:40:46
0
Eric :
Kun muda unaacha mambo yaende tu lkn huwa kuna mda unafika huwa tunabadilika dada yangu.
2026-09-13 14:22:51
0
Salmayusuph🥰🥰 :
🙏🙏kweliii
2026-09-13 10:46:48
0
🧭🔐 :
fact
2026-09-22 19:24:01
0
Salmayusuph🥰🥰 :
yaaan nimimi huruma Niko nayo ila usifanye ujinga ukitgmea huruma yangu utaiona hapana kwakweli ntakukazia na utajuta kunifahamu nashukurug pia mipaka yangu kwanamna ilivyo na nguvu wanaiogopaga
2026-09-13 10:48:56
1
🌍DMG🐦🔥 :
Duu halafu watu kama sisi tuko ladhi kukopa ili tutoe msaada🤣🤣 Da nikama kaujinga ivi
2026-09-16 02:46:54
0
To see more videos from user @mi_witty, please go to the Tikwm
homepage.