mamaangu jamani Allah amfanyie wepesi huko aliko😢😢😢😢😢😢
2026-09-13 14:48:07
24
Jamary fund🔬📞 :
manshallaaaa
2026-09-13 12:21:10
1
lluu :
marehem sakina juma mshana wa redio qur an Allah ampe pepon amuondeshe na adhabu ya kabri mana alikuwa anapenda sana kutuwekea redio qur an
2026-09-13 17:19:51
9
PEMBA IRELAND :
raha ilioje wallah saivi dunia imekua kama ipo ipo tu wallah
2026-09-13 12:04:13
8
mohd jr :
nipe jina lahio kaswida
2026-09-14 02:26:59
1
user4571113519830 :
nilikuwa navaa viatu vyangu vya bata naelekea kupokea mkono wa eid nikirudi home makombo alawi kibao nimebeba
2026-09-13 12:28:46
4
jumaangorikogmail.comtz :
daah nlikua nauza nguo juakali darajani msikiti wa mchangani kwa sheikh Aliyani ni marehemu kwa sasa apo ndio tulikua tunaskiliza izo Kisha tunatembeza pia nguo uko nungwi na mkokotoni na chwaka
2026-09-14 06:52:20
2
ramadhanissa130 :
dah zaman san😢
2026-09-13 18:17:54
0
Dogo wa TikTok :
dah nmekumbka zamn ramadhan nlip kua na dokoa mida ya saa 11 🥺🥺
2026-09-13 19:24:25
5
Hassan Juma505 :
du kwel bna
2026-09-13 22:12:11
1
Hassan_mapathy :
dah umejua kutukumbusha ww
2026-09-13 16:30:30
3
Najjat Alkhaify :
alhamudullah
2026-09-13 18:29:05
2
EDY :
moyo unashtuka ukikumbuka zamani
2026-09-13 18:49:40
2
Meddy Tawakal :
Dah.. mbali mnooo🔥🔥🔥
2026-09-13 19:42:48
1
hassanmsipi :
kuna Ile kaswida Ya Wadada wapo wengi Alal madina Aaakh salam zao huko walipo 🤲😉
2026-09-13 18:42:21
2
Isihaq Ibra :
redio gan
2026-09-13 19:41:24
1
Hazard :
ata upendo ulikuwepo mna saiv skukuuu haina hisia kma zamani
2026-09-14 03:59:57
1
user5760085944328 :
WAFIQ AZIZA nampenda hadi kesho
2026-09-13 18:33:09
2
mosneey :
natamani nirudi utoto maan nisha zeeka😢
2026-09-13 11:41:00
2
bnbkr :
hii ni taarab ya kiarabu
2026-09-14 04:12:00
1
mamy zuu me❤️ :
jmn jmn tunakumbushw tulikotok
2026-09-13 11:57:06
2
Bin mbashir :
sio hiyo ni ile ya Idi lfitrii
2026-09-13 20:58:37
2
Alhajj Mwendapole :
Hapo tumetulia na kanzu zetu tunajiokotea eid mubaraka kwa makaka na baba zetu hadi raha
2026-09-14 05:00:01
1
To see more videos from user @kaswidanasheed, please go to the Tikwm
homepage.