Kitu ambacho nakupendea bro ni kwamba sijawahi kuona posti ya kuponda ama kukejeli kwengine kama daa ama unguja posti zako nyingi zipo kuoonesha mazuri na maisha halisi yanayopatikana pemba🫡🫡
2026-09-14 06:13:49
68
ZanGlobalMarket🍊🥕🥔🥭🌶🍅🍈 :
Atmatic😂😂😂
2026-09-13 11:28:03
30
Ukhuty Ruqaiyyah :
Allah akulipe kheri kwa kuwasaidia hao watoto
2026-09-23 20:33:29
11
𝓘𝓽𝓼_𝓰𝓸𝓵𝓭𝓮𝓷𝓫𝓸𝔂_🇾🇪 :
akhuy naon umetaft njia kwanz 😁😁
2026-09-13 16:23:10
5
Bruno✨ :
Naomba kuuliza ety hapa ndio YouTube 🙏🙏🙏
2026-09-14 02:51:47
4
DIMARIA :
mmbo yangu ayo kaka wapi iyoo
2026-09-13 12:52:52
7
KIFUNDY :
kanichekesha uyo Dogo apo Ety Hayaaaa
2026-09-13 13:51:23
3
Esherdlove🥰🌹 :
Atmatik 😂😂🙌🏽
2026-09-26 09:55:12
3
FEISAL ☠️ :
mung akubark san bro
2026-09-13 20:35:45
0
saidkhamis210 :
😂😂 nakukubali
2026-09-13 11:10:43
3
𝙼𝚞𝚍𝚍𝚢_𝚋𝚛𝚎𝚎𝚣𝚢 :
Weeeh aaaaah uyoooo😂😂😂
2026-09-27 07:21:02
1
Fashesa periwinkle :
Raha sna yan nakumbuka [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 19:18:19
2
MamyD⚘️. :
😅😅😅nimependaaa ulivorukaaaa 😅😅😅
2026-09-18 13:16:12
1
emmycollections :
ntuu nkwao
2026-09-14 06:51:33
1
#cholo5410% :
hahahahahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-13 11:14:24
4
Hemed Bwaure20 :
TIKTOK BORA KUTOKA PEMBA
2026-09-19 09:36:11
1
Mr. SAM☄️ :
😅😅
2026-09-13 12:19:36
0
nasra💓 :
si chambani uko
2026-09-13 19:55:12
1
Nila :
Niliwahi kupata ajali ya gari ya ngombe siku iyo ndo nikajuwa kuwa dunia hii ni duara 😁😁 maana nilitoa macho 😳siku hiyo mpaka wale wenzangu wakawa wananikimbia aisee stor ndefu ila hiyo gar ya ngombe naiheshimu
2026-09-27 10:29:37
1
@abubakarscarffashion_ :
🤣🤣Pemba moja tu
2026-09-13 11:32:50
4
Director Mohaa :
Sheikh Ibrahim unanifurahisha sana na maisha ya uhalisia ya kisiwani Pemba. Kutoka Mombasa Kenya 🇰🇪
2026-09-14 04:07:47
3
شعيب 005 :
uko sawa bro
2026-09-13 11:18:21
3
relax丶202 :
Gari inpigwa nchanga ifulii 😂😂😂
2026-10-08 19:55:28
1
Honey wiggles🌸 :
Atimatik😭🤣
2026-09-13 20:58:06
0
To see more videos from user @abry734, please go to the Tikwm
homepage.