mwimwe tsimupeni ala mimi na familia yangu ndamupa kura sanaaaaaa
2026-09-13 13:06:58
5
Rashmad :
kumbe ni team tolwa kwaiyo ni siasa hamko serious
2026-09-13 18:29:48
1
baba mutanashati :
miaka yote mulikuwa wapi hatusikizi porojo
2026-09-14 15:04:40
2
abu-iqbal :
na bado ajaingia kwenye sirikali
2026-09-14 18:38:08
0
omy :
reverent kumbe yuko
2026-09-13 14:03:23
0
Dan Libero :
wazee wazima ,tena wakiduruma watolwa...hii story mbona 2022 haikuwa..!
hii story ya shamba usichanyanye na story ya Tolwa..!!!
2026-09-13 20:12:23
1
dogo la Kwale :
Acheni kutumiwa vibaya na wanasiasa wazee mwajishusha hadhi yenu
2026-09-14 14:15:52
0
Raj_Raj :
MWAPHUPHA MOSI MWIMWI
LUNG'ANZI CHAI MANGALE for Governor
2026-09-13 22:04:02
1
Eng John Menza :
Lung’anzi for Governor
2026-09-13 19:35:38
1
dzimwape :
hajapita ashaanza wizi
2026-09-15 01:48:04
1
Tr Mboga Felix :
Wametumwa hawa?!
2026-09-13 13:24:38
1
Nzai Mwanzai Chrispus :
wanasiasa woote ni wezi hasa wa mashamba
2026-09-13 13:13:49
1
Mohamed :
ulikua counselor ulifanyia watu nini
2026-09-13 12:39:45
2
Ali Mwatsahu :
Noted
2026-09-13 12:57:30
1
Dingi's❤️✨ :
rudieni bila hasira sasa sijaelewa chenye mnasema 😁
2026-09-13 16:24:23
1
michael :
kwani siku zote walikuwa wapi ama walilipwa ili waongee hivi
2026-09-14 19:49:44
0
makucha :
wacheni kuharibia gavana
2026-09-13 12:48:26
0
🇰🇪 Mrs T.future :
miaka yote nlikua wapi 😳 hatusikilizi porojo
2026-09-14 15:16:47
0
@official Willy.wa.taru :
ndio mana
2026-09-14 14:28:55
0
Msafi 254 :
pigia kura mtu wa kwenu
2026-09-14 06:01:49
0
Solomon Kalu :
mm ni lunganzi SKU zote
2026-09-13 14:18:25
1
Amary Mvurya :
mm natoka makamini lkn uyo mzee lunganzi hana mana kabisa,, uku kwetu tunasumbuana na hao na yeye ndo mfadhili wa hio kesi lkn hatak kujitokeza kuonekana yeye ndo anasimamia hio kesi lkn sisi tunajua kila kitu,,leo hii mnataka kumpea kiti, hakika mtakuja kushangaa na mtalia cna
2026-09-14 14:32:59
0
𝕀𝕥'𝕤_𝕒𝕕𝕟𝕒𝕟𝕖𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠 :
one term
2026-09-14 06:42:40
0
user6587178566553 :
Tmesikia ilahatuelewi nimambo yashamba amanisiasa
2026-09-14 12:29:16
0
002 :
hio n siasa lakn n oneterm
2026-09-13 13:56:46
1
To see more videos from user @themessenger03, please go to the Tikwm
homepage.