kweli umeongey ukweli tunaenda nairobiy sija wahi Kuna ajali kwetu tazania wana weka hamsin mara kwa mara afu polisi wenyewe wasababishwa ajali kwasababu kila mahali kila kilo meta kumi sisi madreva tutaponaje
2026-09-13 19:58:37
0
abdul gari ya tano :
kwel
2026-09-13 11:59:47
1
000001 :
Kaka ususani kusini huko sio poa Kaka mungu akulinde
2026-09-13 20:07:44
0
user4486131421634 :
kingine haohao madereva wanafanyakazi huku wanamawazo maana kilasiku dereva anaonekana kamavile kibaka frani mshahara mdogo pesa ya safari ndogo hakuna mikataba pia hichohicho kidogo serekali inatuwekea mambo makubwa kuliko kipato pia Leo hii wanaanza mambo ya mashalti yakukatwa point kwenye leseni hivi point 15 siukienda safari zako 2 ama tatu leseni imeisha je hii nisawa amawanatarajia hio mizigo ya bandalini wanataka waibebe kinanani maana ukifikisha miezi mitatu ama mitano mnaamini zaidi yamadereva 300 ama zaidi je galingapi zinakua zimesimama maana hapotulipo tu madereva niwashida huko kwenye makampuni maana kwasasa uzalishaji wamadereva hakuna Kuna uzalishaji wa madereva wa bajaji tu maana madereva wamaroli huwezi kumzalisha kwenye chuo kule unazalisha madereva wahali ndogo tu je nahilo zoezi Rao c madereva wataisha ote
2026-09-13 20:03:50
0
Osiman bay :
mheshimiwa umeongea point sana
2026-09-13 19:50:17
0
young rider2312 :
tawile baba
2026-09-13 19:48:00
0
mkasiwa :
Sasa sijui Huyo mwenyekiti kashauri Gari zikaguliwe na wakati Gari mpya nyingi tu zinapata ajali. Wasijisahaulishe kwamba barabara hazitoshi. Watumiaji wamekua wengi sana.
2026-09-13 19:45:46
0
ditirick mtalemwa :
Ajari ni miundo mibovu na huongozaji wa rushwa pamoja kutozingatia usalama
2026-09-13 19:54:04
0
Augustino Mathias :
Asante sana kiongozi wafundishe hapo muda wote wapo officeni hawafiki saiti
2026-09-13 20:02:49
0
neema mwasomola :
Ajari zingine zinasababishwa na barabara mbovu magari yamekuwa mengi bajaji bodaboda waendao kwamiguu baiskel guts ni shida kubwa walijue hilo
2026-09-13 20:04:18
0
user1316260114428 :
🙏🙏🙏🙏 Honger unaongea ukwer san
2026-09-13 19:52:13
0
user4380855932104 :
kwa Nini Kila siku polisi ndio wanashinikiza ukaguzi sababu hi ni mazingira ya kuumiza madereva pia hata hivi vibao vya 50 sasa hivi wanangoa sehemu husika walipoweka tanrod wao wanasogeza mbele yaani barabarani Kuna mambo mengi
2026-09-13 19:41:38
0
husseinhamisi332 :
upo sawa, Moja tu umelisahau, ajali nyingi pia ni madereva kuwa na msongo wa mawazo, mishahara ni midogo na posho ni ndogo, dereva ana huku matatizo yakifamilia huku pesa haitoshelez