Em_Jay🫦💫💦 :
@Em_Jay🫦💫💦:kitu omollo alikua anajarbu ni apitie apo apotee,akapushiwa na uyo mtu ako juu,akakuja kama.ameroll na.last thing u heard n.scream then akanyamaza,hio height ata izo video zingne alikua anajoke about it ,ati apa mtu akieza anguka haezi survive,so nliskia tu amescream akanyamaza,so.uyo mtu amempush akakuja apo place niko na so kitu ilikua kwa akilu yangu n.anataka kunipush,akaniekea kisu akaniambia leta simu,nkamuulza umerusha omollo akaanguka chini akaniambia.leta simu,siku argue nkaingia kwa.mfuko nkachukua simu yangu nkampatia,akaenda hakufanya anything else uyo ndo alikua amebaki na.mimi,akachungulia omollo.mahal.ako hajui ka.alimuona.aka.alert uyo.mwingne akatulia,akakuvuta mkaingia kwa.shamba.....can someone summarize for us,can someone bring me back, so hii time yote wee ulikua.umesimama tu haushtuki na.unaona watu na visu sindio...mlikimbia kila.mtu place yake bado wee ulikimbia lakini.bado ulikua hapo ndio baadaye wakakushika mkono wakakupeleka kwa shamba wauwe mtu wabakishe eye witness sindio😏😏😏😏
it's to say RIP omollo😭💔wachanganye wote mpaka waseme.ukweli yote....kwaza eyes of juja naona amedelete post zote alipost wakat omollo alipass coz uyu dem aliongea kitu tofauti na.yenye aliongea😭😭💔acha niscreenshot ndio wakifuta niwaaambie
2026-09-14 13:45:32