Yote kwa yote nashukuru Mungu limeondoka kwenye maisha yangu 😏
2026-09-13 19:15:09
37
Amarachi💕🥵💦💓 :
hata kwa ndoto anakuja tu bado😫😫I hate him fr
2026-09-14 06:41:36
13
sauka yasini :
uyo ndo mwanaume wangu yule anaumia Hadi ananiambia mwenyewe kuwa anaumia sana maendeleo yangu yanamuumiza sana
2026-09-14 10:01:16
7
user2559682409615 :
huwa ni wachawi au??? maana me nsahindwa kuelewa jamani!!!
2026-09-19 16:11:58
0
marrytoto255 :
mm nimeachananae 🤣 ila Bado anavyuu sitatas zangu nayeye ndo kaniacha
2026-09-20 19:53:56
2
Joshcaleb Lyatuu :
sasa mm kaninyanganya mpaka mtoto na hatak ata niwasiliane na mtoto, kamalza shule sjamuona, nifanyeje jmn??
2026-09-14 06:16:06
2
Marenga :
mim niliachana nae mwaka na nusu na kila nikipendana na mtu mwingine mara paa anatokea sijui nifanyeje🥹🥹
2026-09-14 17:11:39
4
Reb K :
anakufatiliaje kwa sababu Mimi wangu tumeachana miaka mitano sina mawasiliano ila pia tukionana hua hatusalimiani pia hua namuotaga pamoja na kua namchukia
2026-09-15 13:03:29
0
zuu_nass :
yaani wewe kaka kama unayaona nianyo pitia ndio hayo hayo unayo sema nikweli
2026-09-13 19:57:59
1
Comfort Chain :
uko sahihi
2026-09-23 23:38:16
1
Naylah😘 :
my man nashindwa kumuelewa tumeachana au vipi nikiwa namtu mwingine atanizibua nikijirudi kwake ananipotezea dhara na anasema sijakuacha
2026-09-14 06:41:33
0
HAWA SAIDI :
ivi we kaka ulnayajuaje haya mtu amekuacha lakini ananichafua
2026-09-14 05:43:39
5
Valentina Lucia326 :
umesema ukweli mtupu
2026-09-13 20:11:48
2
Joyeux :
ukweli kabisa kk
2026-09-13 19:22:43
3
LOVE..FAMILY❤️❤️ :
unasema ukweli kabisa kuna huyu wangu anataka kuaminisha hadi sheria kuwa kunipiga ni sawa na ni haki yake ....nyieee
2026-09-13 14:27:00
2
Aem_GEE🔐♥️ :
kweli
2026-09-13 19:01:48
1
user2559682409615 :
wangu alinambia ukiondoka kwangu hautapata Mwanaume wa kukuoa mwingine hapa duniani tofauti na mimi!! jamani!! cjui hata nifanyeje ili niepukane naye! na nakuwa namuota vibaya muda mwingine
2026-09-19 15:20:47
0
user2559682409615 :
huyo ni Mumewangu kabisa! Mungu anamuona!! 😭😭
2026-09-14 05:48:32
2
Verynice Lema :
ndugu unamsema mume wangu
2026-09-13 16:14:41
1
AyuniHabibti :
💯
2026-10-06 10:50:55
0
VERONICA John :
ni kweli kaka
2026-10-08 11:21:45
0
Fatuma Elias :
fact
2026-10-08 04:48:00
0
Joyce Abdallah :
kweli kabisa
2026-10-07 17:46:03
0
🦋🦋🦋lulu♥️dhahabu🦋🦋🦋🍏🍏 :
nikweli kabisa
2026-10-07 10:22:46
0
Elias okayo :
nani anacheka na yy
2026-09-13 15:09:45
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm
homepage.