@john_madeje: ❌Kwa wawekezaji wenzangu wanaotaka kuwe majirani zangu na tumiliki wote na tufaidikiw wote nakupa hivi viwanja vyangu baadhi sio vyote nauza so atakae wahi ,ushindwe wewe kuchangamkia fursa leo ✅Cash: TSh 10,000 kwa m² ✅Miezi 6: TSh 12,000 kwa m² ✅Mwaka 1: TSh 13,000 kwa m² ✅Awamu: malipo ya kuanzia ni 20% ya bei yote. Wahi kiwanja chako leo wasiliana nami kupitia (+255) 0757933264 @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd @wanawakeprojects.company.ltd #biashara #ujasiriamali
mimi nikifanya kazi 7 years nilipotoka pale hakuna mtu ambaye alinitafuta nilikuwa na marafiki wengi nikajifinza nikiwa sehemu yoyote nasimama mimi kama mimi nikiamini iko siku nitakuwa mwenyewe
2026-09-13 18:57:07
12
Allayts :
Viwanja vipo wapi Mkuu
2026-09-13 14:25:18
6
Eng. Abdullah :
likizo tu hawakumbuki[Tears of joy]
2026-09-13 17:55:26
17
JAFFE NYAMA CHOMA :
illussion
2026-09-13 16:08:20
4
❤️🩹wyne_real🥰💌 :
kazini Amna rafiki Kuna competitors, watu wanaokuonea wivu sana na watu wanaokupenda kama Kuna kitu unawasaidia, I'm telling you the best you can do is to use them as a ladder, step on them go higher iishie apo usitafute undugu kazini
2026-09-13 20:13:38
5
MRS MAWAZO :
hii ni kweli kabisa,,ivi uwaga nini
2026-09-14 08:05:02
2
whatner👔 :
yaani yalivyo yananiombea nifukuzwe kazi Sasa,sipati picha siku nikifukuzwa rasmi
2026-09-14 10:42:05
6
Dully iphone :
ni kwel kabisa😂
2026-09-13 14:27:26
4
user4084567284619 :
mimi nimehamishwa ofisi tu kwenda mkoani kampuni iyo iyo jamaa wamekata network kabisa
2026-09-13 21:03:03
4
Isagro Shining Star :
ajira ni kama vifurushi vya masaa 24
2026-09-13 17:02:13
7
Kipalahi OG :
broo nataman hata nikuonyeshe ushahid juu ya hilo unalosema
2026-09-14 08:12:19
3
user mc kindumbo :
Siyo kufukuzwa kazi tu hata ukihama sehemu ya kazi hiyo ipo sanaa
2026-09-14 04:51:15
3
kelvn mayoko :
kazin hamna rafiki kuna mfanya Kaz mwenzako
2026-09-14 05:14:41
1
Dr.Sikamona :
FACT KUBWA
2026-09-14 12:21:36
2
JAFFE NYAMA CHOMA :
SHIDA SI KUTOLEWA KAZINI,HAPA POINT NI KUWEZA KUSIMAMA PEKE YAKO
2026-09-13 16:09:09
11
Optclox :
sahihi kabisaa
2026-09-13 17:08:05
1
gally :
fact
2026-09-13 16:59:49
1
Joseph :
uwo ndoo ukwel
2026-09-13 17:29:28
1
fredy :
hii ni kweli kabisa
2026-09-14 12:49:22
0
Dr Naseeb :
kwann niwapigie sim??
2026-09-14 13:16:05
0
To see more videos from user @john_madeje, please go to the Tikwm
homepage.